DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,911
Send me your address[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kabisa yaani mie mwenyewe nilivamia ugomvi tu ila eti ndiyo nikajikuta nina hasira kuliko waliotukanwa hadi kaka wa watu kanung'unika haki inabidi niache huu utani wa kijinga humu JF kuna watu huwa wanamaindi kweli aise yaani mimi nikija kupata mume kauzu asiyependa matani sijui nitaishije nahisi nitakuwa nakula mabanzi kila siku