Hakuna ubaya, maana hata kama ukiona picha hizo huwezi mfahamu au kuoanana nae maisha. Halafu ni yeye ndio ameweka kwanza nipo na ugomvi nae kwanini ametumia akaunti yangu ya JF
Ndiyo. Mwanamke halisi wa Kiafrika ndivyo anapaswa kuwa hivyo. Hii dhana ya urembo wa Kimagharibi eti mwanamke lazima awe mifupa mitupu mi kwa kweli inanikwaza sana. Please I am pleading with you; usijikondeshe
Nikienda Twitter nafanyeje? Namfollow nani? Nina akaunti huko lakini naishiaga tu kusoma mipapurano ya wanasiasa na mimi siasa huwa nazikwepa. Basi huwa naishia kukimbia tu na kuja huku.