Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,244
- 90,420
Jambo selfika .
Sikutegemea Mjukuu wangu utanicheka hivi, unajua kabisa mapenzi ya Babu yako kwenye hii timu kiasi kwamba tunapofungwa si chakula Cha Mchana Wala Cha Usiku kinapanda😢
Anza kukariri Periodic table kabisaMimi mwenyewe nataka niwe mwanafunzi wake
Unajua dawa yangu ya kikohozi iliisha tangu Juzi na hujaniletea licha ya kukutumia Ujumbe Kupitia ofisi ya Mhe. Majaliwa ambaye ni class mate wangu Chuo Kikuu 🙈🏃🏃🏃🏃anaza kikohozi babuu... anything wrong??
Marehemu alikuwa na mdomo sana 🤣Sikutegemea Mjukuu wangu utanicheka hivi, unajua kabisa mapenzi ya Babu yako kwenye hii timu kiasi kwamba tunapofungwa si chakula Cha Mchana Wala Cha Usiku kinapanda😢
Kama ilivyotokea Babu yako kushabikia timu hii Kwa shinikizo la malikia Elizabeth miaka Ile ya '58 hivyo Babu naye yuko mbioni kufanya marekebisho ya Sheria yatakayomfanya Kila Mjukuu wake kushabikia Arsenal Fc🤪🤪
CC mwanasheria wa Babu Lenie ~harakisha Sheria hii inakamilika kabla ya Mei,2022😂😂😂
Mashabiki wa arsenalSikutegemea Mjukuu wangu utanicheka hivi, unajua kabisa mapenzi ya Babu yako kwenye hii timu kiasi kwamba tunapofungwa si chakula Cha Mchana Wala Cha Usiku kinapanda
Kama ilivyotokea Babu yako kushabikia timu hii Kwa shinikizo la malikia Elizabeth miaka Ile ya '58 hivyo Babu naye yuko mbioni kufanya marekebisho ya Sheria yatakayomfanya Kila Mjukuu wake kushabikia Arsenal Fc
CC mwanasheria wa Babu Lenie ~harakisha Sheria hii inakamilika kabla ya Mei,2022![]()


oops! pole sana babuu on my way nakuletea🚶🏽♀️Unajua dawa yangu ya kikohozi iliisha tangu Juzi na hujaniletea licha ya kukutumia Ujumbe Kupitia ofisi ya Mhe. Majaliwa ambaye ni class mate wangu Chuo Kikuu 🙈🏃🏃🏃🏃
Aisee kitu "meng'enyu" one day yes mwaisa
Yeah kumekucha salama 😘!
T u good?Just a crappy day
Thanks for asking
Hii ndo papati sasa alijisemea mwanangu


