Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Pretty good and you ?T u good?
Pretty good and you ?T u good?
Zikipatikana kama izo 6 Maghreb inakua swadaktaa
😄😄 nimepiga tatuu mzee.. zimekuwa chapati nyepesi kama karatasiZikipatikana kama izo 6 Maghreb inakua swadaktaa
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
😄😄😄 alafu nyepesi kama karatasi unaweza kula kumiHii ndo papati sasa alijisemea mwanangu![]()
Izo nzuri unaziunga mbili mbili na supu kama ya kuku ama mbuzi ata ng'ombenimepiga tatuu mzee.. zimekuwa chapati nyepesi kama karatasi
😄😄😄😄 mkuu watu wamefunga.. tusiwaeka majaribuni wakatengua saumu zao.. hapo kwa soup ya mbuzi inapendeza sanaIzo nzuri unaziunga mbili mbili na supu kama ya kuku ama mbuzi ata ng'ombe
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Holdn up pretty goodPretty good and you ?
Nasubiri jion npige kama ivomkuu watu wamefunga.. tusiwaeka majaribuni wakatengua saumu zao.. hapo kwa soup ya mbuzi inapendeza sana
Jioni nachapa tambi na maini.. na uji wa pili pili manga 😀😀😀.. mwezi mtukufu usipo toka shavu ujue kuna shida pahala
Mimi nipiga uji wa pilipili manga napiga kiarabu hatar sanaJioni nachapa tambi na maini.. na uji wa pili pili manga.. mwezi mtukufu usipo toka shavu ujue kuna shida pahala
😄😄😄 inabidi upige jioni tuje kuchapa hapa kiarabu mwanzo mwishoMimi nipiga uji wa pilipili manga napiga kiarabu hatar sana
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Nimemwomba Junia ufutio hapa futa na kufuta na wewe emoji haitoki....hata huto tu-kopa kopa wapiiiii.....
Rangi yake mashaalah 😎😎Nimemwomba Junia ufutio hapa futa na kufuta na wewe emoji haitoki....hata huto tu-kopa kopa wapiiiii.....
Ndo maana nilikomaaa na ufutio 😂😂😂Rangi yake mashaalah 😎😎
hawa watoto ni shidaaa hapo sema hujasikia harufu ya marashi.. unaweza pagawaaa.. 😄😄Ndo maana nilikomaaa na ufutio 😂😂😂