Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,774
- 256,799
😂😄😄😄 JamaniiNimemwomba Junia ufutio hapa futa na kufuta na wewe emoji haitoki....hata huto tu-kopa kopa wapiiiii.....
😂😄😄😄 JamaniiNimemwomba Junia ufutio hapa futa na kufuta na wewe emoji haitoki....hata huto tu-kopa kopa wapiiiii.....
Pilipili na chai

naona na chapati kwa mbali
au pilipili ndiyo mbadala wa iliki hiyoNatia huruma...hapa junia analia ufutio wake eti "dadii dadii my rubbeeer, I hate you"😂😂😂 ....na Sura kuona holaaa😂😄😄😄 Jamanii
Unaweza Sema "enka" inauma Leo hakuna kazi 😄😄😄 ufaidi uwepo wa dera na ushungi matata plus jicho legevu😂😂hawa watoto ni shidaaa hapo sema hujasikia harufu ya marashi.. unaweza pagawaaa.. 😄😄
😄😄😄😄 umenikumbusha mbali sana.. hawa wanajua kujali wenyenyekevu kwa waume zao.. yaani dah acha kabisa wawe na maisha marefuUnaweza Sema "enka" inauma Leo hakuna kazi 😄😄😄 ufaidi uwepo wa dera na ushungi matata plus jicho legevu😂😂
Yani ni shida chapati Kama kiooalafu nyepesi kama karatasi unaweza kula kumi
😄😄😄 kulikuwa na supu ya malapu lapuPilipili na chainaona na chapati kwa mbali
au pilipili ndiyo mbadala wa iliki hiyo
unabugia hata 10 😀😀Yani ni shida chapati Kama kioo
Upo vizurikulikuwa na supu ya malapu lapu
Ya malapulapu buku 3 unasusiwa jungukulikuwa na supu ya malapu lapu
ila ukikuta mtengenezaji fundi huwa mazuri.. uswazi huwa kuna raha yake bwanaa.. maisha cheap kabisa
Hakika nimegusa mjumbe mkuu wa wapenda ushungi na macho legevu 😂😂😂😄😄😄😄 umenikumbusha mbali sana.. hawa wanajua kujali wenyenyekevu kwa waume zao.. yaani dah acha kabisa wawe na maisha marefu
Maajabu ni kwamba zinatoka balaaa....na zinaishaunabugia hata 10 😀😀
unataka maisha marefu, chukua binti wa kiislam alie lelewa kwenye maadili safi, hata akikufaniwa itabaki siri ya ndani hatokufanyia vurugu wanajua nafasi ya mwanaume na nini mwanaume anataka.. ukienda sekta ya mapishi ndio 🔥🔥🔥Hakika nimegusa mjumbe mkuu wa wapenda ushungi na macho legevu 😂😂😂
na wataalamu wa uchumi, ukila hizi husikii njaa harakaMaajabu ni kwamba zinatoka balaaa....na zinaisha
Huyu ni mimi kabisa
