Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,196
- 183,025
Huamini! Sie ndio wale tunakukuua huku tunacheka!!Wewe huyuhuyu?
Huamini! Sie ndio wale tunakukuua huku tunacheka!!Wewe huyuhuyu?
Daku yangu huwa ni nyepesi, naweza gonga tende tu na maji au vijiuji basi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na hapo baadaye tena unagonga daku
Jamaican makes you smile 9.8ms squaredG9t![emoji4]View attachment 2175804
[emoji23][emoji23][emoji23]Junia uyo atanifanya nikalale polisiJunia hasira inambana ,anatupia simu kwenye maji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huamini! Sie ndio wale tunakukuua huku tunacheka!!
Oh hii imekaa vizuriDaku yangu huwa ni nyepesi, naweza gonga tende tu na maji au vijiuji basi.
Junia anakasirika,anajitupa chini na hataki kula[emoji23][emoji23][emoji23]Junia uyo atanifanya nikalale polisi
Ngoja niutafute huu uzi[emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka duh
Sijambo mkuu japo hapo kwenye binti umekosea nimevuka kwenye u binti🙏🏽Hujambo Binti mzuri@Nuzulati
Usilazimishe mambo. Unaweza nionesha sehemu nimesema wanawake hawana umuhimu? huu ndio upumbavu wa kukurupuka kujibu bila kumsoma mtu btn line..Halafu bado unasema akina Nuzulati Sio muhimu kwako. Hahaaaaaa, as I said hujui unachokimiss. Najua utasema hapa tunataniana.....blahblah....
Jifunze kuheshimu utaratibu wa maisha ya watu hatuwezi fanana. Kila mtu ana vitu vyake vinavyo mpa furaha.. na amaniJamaican makes you smile 9.8ms squared
Hivi alipotelea wapi? Au ID zake zingine zilimwelemea hii akaitelekeza? Kimalkia chake kilikuwa kinafanana na cha jamaa mmoja mpiga boksi [emoji16][emoji16][emoji16]Nimemkumbuka Lizarazu [emoji1787][emoji1787]
Mara nyingi mapenzi huambatana na upendo lakini upendo siyo lazima uambatane na mapenzi....