Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kama sio jela
Kunasiku kunamama na mwanae ana miaka kama nane hivi
Mtoto anashusha nguo kwenye enga Mara apande kwenye kiti ajirushe

Mama mtu sasa "wew Junia acha iyo"
Junia njoo Basi hapa
Junia wew usishike hapo

Nilichukia nikasema looh angekuwa mamaangu kashanipiga mtama muda Sana Hana muda wa kupoteza

Hadi mdogowangu akaingilia Kati akamuuliza dada huyu mtoto umemzaa mwenyew au umepewa umlee maana Junia Junia tumechoka tutamfumua mwanao hapa utupe kesi
Junia acha usimpige mgeni
We junia acha simu ya mgeni

Junia ametoka amevaa chupi ya mama yake kichwani..
Baba yake anachukua huku anamwambia wee Junia bwana acha.
Huu ni Uzi Fulani wa chizimaarifa..nilicheka nilitaka kuzimia.
 
Et Junia wew usinipige na begi nitakunyima garilako lile usichezee jamani Junia usimkaripie ataliakudadek
Anampiga mgeni wanasema junia ndivyo alivyo
Anamwambia mgeni kwamba anadowea chakula,wazazi wanasema we Junia Jamani

Junia analilia simu ya mgeni,mama yake anamwambia mgeni Mpe tu
Mara Junia anajitupa chini Kwa hasira!

G9t!
Screenshot_20220404-211518_Instagram.jpg
 
Dullah anaendelea tu kutupia wakubwa vitu
Kabisa na ana tabia ya kunyonya vidole kuna jirani yake mmoja anamtoaga mkono. Mama yake anadai huyo jirani hampendi mwanae na anamuonea tu kila muda.

Mwanzo sikuwa naelewa ila baada ya kwenda mara kadhaa lile eneo ndio nikajua sababu lakini yote hyo ni katika kurekebisha.
 
Akina Junia hao
 
Back
Top Bottom