Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,386
- 95,818
ni kweli kabisaAssume huna nguo nyumbani kwako. Kila ukihitaji kuvaa nguo (na lazima uvae) unaenda kuomba/kununua nguo. Hizo taabu utakazozipata hazisemeki.
Sasa mke ni zaidi ya nguo. Ni rafiki, ni partner, ni usingizi, ni mshauri, ni mshindani n.k Unakosa vingi asee
Oooh kumbe nilisahau karibu kipenzi😬wewe wa kunifanyia mimi hivi jamani asalaleee 😀😀😀😬😬😬😬
Unafundisha shule gani nije kusoma upya?Aahaa kumbe! ni mbinu nzuri!
hapa km umemaanisha hv?Subiri tulio funga tubakishe kama kitabaki umesikia kobe😬
[emoji16]umenikumbusha kunarafikiyangu yeye akimuita tu mwanafunzi huku kamkazia jicho Yan mtoto analia tu huko huko aliko hata kabla hajamchapa Wala hajamwambia chochoteKwanza ningekuwa nakaukiwa na sauti na kufoka.
Jinsi nilivyo na hasira za karibu afu niwe mwalimu[emoji23]tungeongea mengine.
Mngesikia tu mwalimu na mwanafunzi wamezichapa.
akitaja ni tag .nipeleke mtoto amfundisheUnafundisha shule gani nije kusoma upya?
Kumaanisha kipi mkuu?hapa km umemaanisha hv?
sawa tu, nakusubiri umalize nitalipiza 😎😎Oooh kumbe nilisahau karibu kipenzi😬
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!akitaja ni tag .nipeleke mtoto amfundishe
😄😄😄 jua kali mwamba anatupia tu..Double Kick and get knocked off till morrow 😂😂😂
[emoji23][emoji23]kn siku niko obay pale shule kumchek.mwl alimkosesha mwanafunzi swali.mwanafunzi akamwambia mwl huna akili.hujielewi
Nimeshiba kitumbo ndii.. Kama una ufagio njoo unifagie nipunguze shibe. [emoji3]Tupieni selfie za iftar[emoji847]
Mimi nipo na Qaswida tu hapa
mualiko,mpk ushibeKumaanisha kipi mkuu?
anza mfanoselfikeni sasa story zimekua nyingi!!
Nimejipa likizo mpaka Ramadan iishe!anza mfano
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeshiba kitumbo ndii.. Kama una ufagio njoo unifagie nipunguze shibe. [emoji3]
Birthday yako leo ?And birthday ended with this and boondocks season 3View attachment 2175661