Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,274
Watakua Salama tu relax! Wee wapenda kuona wajukuu zako wanadodea nyumbani eehhh!!??? Acha watest mitambo kwanza!😂!Afadhali kunitoa hofu, ngoja niwaulize wenzako kama wako salama, Nina wasiwasi na huyu kijana 9.8ms squared

madam kemia

