Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,903 Reaction score 57,684 Apr 4, 2022 #174,661 Wigelekelo said: Roho mbaya Itakufikisha wapi Wewe mzee Click to expand... Nimelea watoto wa wajukuu zangu 3 Kwa pension yangu baada ya vijana Mabarobaro kuwazalisha wajukuu zangu bila kuwahudumia🥱🥱🥱 Sasa kwa Mjukuu wangu Depal sitaki litokee tena 🚶🚶🚶
Wigelekelo said: Roho mbaya Itakufikisha wapi Wewe mzee Click to expand... Nimelea watoto wa wajukuu zangu 3 Kwa pension yangu baada ya vijana Mabarobaro kuwazalisha wajukuu zangu bila kuwahudumia🥱🥱🥱 Sasa kwa Mjukuu wangu Depal sitaki litokee tena 🚶🚶🚶
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,903 Reaction score 57,684 Apr 4, 2022 #174,662 Wigelekelo said: Click to expand... Guu linamtetemesha hadi Babu yake 🙈🏃🏃
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,009 Reaction score 177,315 Apr 4, 2022 #174,663 Halafu Grahams said: Hahahaha......nina rafiki yangu ni Mzee wa almost 81yrs lakini Mwaka Jana alipata mtoto mwingine wa Uzeeni at that age Kweli Wanaume hatuzeeki💪 Click to expand... eti unajiita babu🙄🙄🙄! Hio babu vipi 😜
Halafu Grahams said: Hahahaha......nina rafiki yangu ni Mzee wa almost 81yrs lakini Mwaka Jana alipata mtoto mwingine wa Uzeeni at that age Kweli Wanaume hatuzeeki💪 Click to expand... eti unajiita babu🙄🙄🙄! Hio babu vipi 😜
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,009 Reaction score 177,315 Apr 4, 2022 #174,664 Grahams said: Koh Koh Koh ......... Click to expand... A glass of water for you pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!
Grahams said: Koh Koh Koh ......... Click to expand... A glass of water for you pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,903 Reaction score 57,684 Apr 4, 2022 #174,665 Wigelekelo said: Miwani mara mbili kila ilipovunjika Click to expand... Mjukuu anamjali Babu yake 🤪🤪
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,903 Reaction score 57,684 Apr 4, 2022 #174,666 mahondaw said: Halafut, eti unajiita babu🙄🙄🙄! Hio babu vipi 😜 Click to expand... Thanks kunirudisha Ujanani, naomba Bibi yako apite hapa aridhie ombi langu la kuongeza Kimwali 🙊
mahondaw said: Halafut, eti unajiita babu🙄🙄🙄! Hio babu vipi 😜 Click to expand... Thanks kunirudisha Ujanani, naomba Bibi yako apite hapa aridhie ombi langu la kuongeza Kimwali 🙊
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,903 Reaction score 57,684 Apr 4, 2022 #174,667 mahondaw said: A glass of water for you pullliiizzzzzzzzzzzzzzz! Click to expand... Nashukuru kunijali Mjukuu wewe, manake hapa Kiko niliyokuwa navuta imenipalia 🤪
mahondaw said: A glass of water for you pullliiizzzzzzzzzzzzzzz! Click to expand... Nashukuru kunijali Mjukuu wewe, manake hapa Kiko niliyokuwa navuta imenipalia 🤪
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 4, 2022 #174,668 mahondaw said: Makolo! Ila Anne una maneno !! Hivi una miaka mingapi kwanza!! Click to expand... Ni Manara huyo aliwapa hilo jina Mimi mkubwaaaaa Nina 35kutoa Teni
mahondaw said: Makolo! Ila Anne una maneno !! Hivi una miaka mingapi kwanza!! Click to expand... Ni Manara huyo aliwapa hilo jina Mimi mkubwaaaaa Nina 35kutoa Teni
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,903 Reaction score 57,684 Apr 4, 2022 #174,669 mahondaw said: Have a great and blessed weekdays guys! Saint Anne View attachment 2175057 Click to expand... Natamani nirudie Shule ili nifundishwe na Mwalimu wewe 🥱🥱
mahondaw said: Have a great and blessed weekdays guys! Saint Anne View attachment 2175057 Click to expand... Natamani nirudie Shule ili nifundishwe na Mwalimu wewe 🥱🥱
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,009 Reaction score 177,315 Apr 4, 2022 #174,670 Grahams said: Thanks kunirudisha Ujanani, naomba Bibi yako apite hapa aridhie ombi langu la kuongeza Kimwali 🙊 Click to expand... Uongeze tena!! Watakuua kwa presha bora utulie na bibi tu ! 😜😜
Grahams said: Thanks kunirudisha Ujanani, naomba Bibi yako apite hapa aridhie ombi langu la kuongeza Kimwali 🙊 Click to expand... Uongeze tena!! Watakuua kwa presha bora utulie na bibi tu ! 😜😜
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 4, 2022 #174,671 mahondaw said: Have a great and blessed weekdays guys! Saint Anne View attachment 2175057 Click to expand... Kuchaaa Meno Nyie boss ledi hadi meno yake mazuri Njoo muone aiseeeeeee
mahondaw said: Have a great and blessed weekdays guys! Saint Anne View attachment 2175057 Click to expand... Kuchaaa Meno Nyie boss ledi hadi meno yake mazuri Njoo muone aiseeeeeee
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,009 Reaction score 177,315 Apr 4, 2022 #174,672 35!! Unapenda kujizeesha eehhh!! wenzio tunatamani turudie utoto wewe unatamani uzeee!! Shindwaaaaa! Saint Anne said: Ni Manara huyo aliwapa hilo jina Mimi mkubwaaaaa Nina 35kutoa Teni Click to expand...
35!! Unapenda kujizeesha eehhh!! wenzio tunatamani turudie utoto wewe unatamani uzeee!! Shindwaaaaa! Saint Anne said: Ni Manara huyo aliwapa hilo jina Mimi mkubwaaaaa Nina 35kutoa Teni Click to expand...
Sir Carter JF-Expert Member Joined Sep 7, 2017 Posts 631 Reaction score 1,417 Apr 4, 2022 #174,673 ERoni said: Kwamba hawa wahuni walishinda? Can't believe it...fluke kama fluke tu! Basi tukutane leo 2200hrs ili tujihakikishie top 4!! Click to expand... Waje wawaone mabingwa wao wakicheza
ERoni said: Kwamba hawa wahuni walishinda? Can't believe it...fluke kama fluke tu! Basi tukutane leo 2200hrs ili tujihakikishie top 4!! Click to expand... Waje wawaone mabingwa wao wakicheza
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,903 Reaction score 57,684 Apr 4, 2022 #174,674 mahondaw said: Uongeze tena!! Watakuua kwa presha bora utulie na bibi tu ! 😜😜 Click to expand... Hiyo Presha itatokana na nini? Huyo Bi mdogo akija namkabidhi mashamba aanze kulima kwaajili ya watoto tutakaozaaa naye 🤪
mahondaw said: Uongeze tena!! Watakuua kwa presha bora utulie na bibi tu ! 😜😜 Click to expand... Hiyo Presha itatokana na nini? Huyo Bi mdogo akija namkabidhi mashamba aanze kulima kwaajili ya watoto tutakaozaaa naye 🤪
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,009 Reaction score 177,315 Apr 4, 2022 #174,675 Saint Anne said: Kuchaaa Meno Nyie boss ledi hadi meno yake mazuri Njoo muone aiseeeeeee Click to expand... 🤣🤣🤣🤣🤣! Anne nacheka pekeangu naonekana chizi huku mwenzio!!! please!
Saint Anne said: Kuchaaa Meno Nyie boss ledi hadi meno yake mazuri Njoo muone aiseeeeeee Click to expand... 🤣🤣🤣🤣🤣! Anne nacheka pekeangu naonekana chizi huku mwenzio!!! please!
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,761 Apr 4, 2022 #174,676 Grahams said: Koh Koh Koh .........😋 Click to expand... Heshima yako mzee wa Mchongo.. nipo na mjukuu wako hapa anakupa Hi 😀😀
Grahams said: Koh Koh Koh .........😋 Click to expand... Heshima yako mzee wa Mchongo.. nipo na mjukuu wako hapa anakupa Hi 😀😀
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,009 Reaction score 177,315 Apr 4, 2022 #174,677 Grahams said: Nashukuru kunijali Mjukuu wewe, manake hapa Kiko niliyokuwa navuta imenipalia 🤪 Click to expand... hahahaaa!! Haya selfika basi babu akeee!!
Grahams said: Nashukuru kunijali Mjukuu wewe, manake hapa Kiko niliyokuwa navuta imenipalia 🤪 Click to expand... hahahaaa!! Haya selfika basi babu akeee!!
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,903 Reaction score 57,684 Apr 4, 2022 #174,678 mahondaw said: hahahaaa!! Haya selfika basi babu akeee!! Click to expand... Usijali, namsubiri Bibi yako atoke kusenya Kuni aje anipige picha moja 🤪🤪
mahondaw said: hahahaaa!! Haya selfika basi babu akeee!! Click to expand... Usijali, namsubiri Bibi yako atoke kusenya Kuni aje anipige picha moja 🤪🤪
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,009 Reaction score 177,315 Apr 4, 2022 #174,679 Grahams said: Hiyo Presha itatokana na nini? Huyo Bi mdogo akija namkabidhi mashamba aanze kulima kwaajili ya watoto tutakaozaaa naye 🤪 Click to expand... wewe wake wawili pasua kichwa babuu sikushauri!! Utakua siku si zako please please bado wajukuu tunakuhitaji!
Grahams said: Hiyo Presha itatokana na nini? Huyo Bi mdogo akija namkabidhi mashamba aanze kulima kwaajili ya watoto tutakaozaaa naye 🤪 Click to expand... wewe wake wawili pasua kichwa babuu sikushauri!! Utakua siku si zako please please bado wajukuu tunakuhitaji!
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,009 Reaction score 177,315 Apr 4, 2022 #174,680 Grahams said: Usijali, namsubiri Bibi yako atoke kusenya Kuni aje anipige picha moja 🤪🤪 Click to expand... kabisa fanya hivo ! Bila shaka wajukuu wahuko hawajambo! Sie huku wazima sana! Tumewamis tu
Grahams said: Usijali, namsubiri Bibi yako atoke kusenya Kuni aje anipige picha moja 🤪🤪 Click to expand... kabisa fanya hivo ! Bila shaka wajukuu wahuko hawajambo! Sie huku wazima sana! Tumewamis tu