ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,471
- 126,715
Ewaaa...Emu nikoholeshe kile kikohozi cha Harmonize Lenie View attachment 2174547
Ewaaa...Emu nikoholeshe kile kikohozi cha Harmonize Lenie View attachment 2174547
AminaHapa njema kabisa mkuu.. jambo jema kumshukuru Mungu kama mambo ni mema
SimaraTuna jambo letu
Jamani bibi anamjali sana babu, ndio maana hadi saivi babu unashine😍Kumbe eeh, basi Bibi yako yuko vizuri kunichagulia. Hapo ilikuwa tunamwaliko kuhudhuria harusi ya mtoto wa Chief akiolewa na yule Gavana wa kiingireza Richard Turnbull 🙊🙊🏃🏃
Ewaaa.. hatari hii, japo mnachezea!Tuna jambo letu
Ngoja ununiwe[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2174400
Sijaiona jamani, naomba niitafute nami nimtumie mtoto wa mama mkwe niboreshe mahabatNimependa ilivyoishia 🍿
Lenie na hako ka love story hapo kati weeh, si nimechukuapo na vineno vya kumtumia mtoto wa mtu 🤣View attachment 2174618
NimechekaAwapi sio babu wala nene... Wigelekelo anasemaga unafaa kabisa kwa matumizi ya binadamu! [emoji12][emoji12]
Hongera Umekaa poa sana [emoji3577][emoji3577][emoji3577]![emoji8]
UmependezaTuna jambo letu
Ewaaa.. hatari hii, japo mnachezea!
Bugali bho gulelaMkisikia kuna mashindano ya kula ugali mnitonye. Sinaga mpinzani! [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 2174538
Ewaaa.. hatari hii, japo mnachezea!
Kwema mkuuabee
[emoji849]Emu nikoholeshe kile kikohozi cha Harmonize Lenie View attachment 2174547
Umependeza
Lips hizo [emoji91][emoji91]
Mungu ibariki Simba Fc
Nguvu moja