Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
HatuwaziHahahha ila nyie mnajitahidi , Arteta anachapa kazi ..
Naona Tottenham wanataka wawatoe kwenye top 4 .
Wala nini[emoji1787]
HatuwaziHahahha ila nyie mnajitahidi , Arteta anachapa kazi ..
Naona Tottenham wanataka wawatoe kwenye top 4 .
Nkamu ulibet nini [emoji1787]
Ushabiki unahitaji moyo jamani; roho juu juu . Mtu anaweza akakutania, ukaanguka kiliondiyo ndiyo[emoji3][emoji3]
Wasalimie sana[emoji1787]Nkamu sikubet ila niliwanyanyua mashabiki wa Yanga kuwaleta uwanjani, walishaanza kunicheka [emoji3][emoji3]
Hapa wapo wapoleee hawaamini macho yao
Since day oneTangu lini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie Wana Simba msikubali[emoji1787]
Hahaha mnajiamini eehHatuwazi
Wala nini[emoji1787]
aisee huo ugali mi nampa dogo wa miaka mitatu ale na amalize[emoji41]Mhuuu. Au inabidi nile tena hapo katikati??[emoji849]
Ukiwa shabiki wa Arse8Hahaha mnajiamini eeh
Wawatoe mara ngapiHahahha ila nyie mnajitahidi , Arteta anachapa kazi ..
Naona Tottenham wanataka wawatoe kwenye top 4 .
Mbona mkorofi sana weweWawatoe mara ngapi
Emu nilaleMbona mkorofi sana wewe
Ukiwa shabiki wa Arse8
Hupati magonjwa kama
Sukari
Presha hata Ukimwi [emoji1787]
Wengi kama sio wote
Group ya damu ni 0-ve
[emoji23][emoji23]Wawatoe mara ngapi
Kubahatisha ndio kukojeee?!mkibahatisha mnakelele nyie ni hawa View attachment 2174844
Pole sanaaa,najua unatamani hii Raha tunayopata uwe nayooo,ndio hivyoo haiwezekani.mkibahatisha mnakelele nyie ni hawa View attachment 2174844
Ngumu kwao[emoji23]
Hahaha tulia mna game ngumu mwishoni mwa mwezi .
Hawana tofautiHivii
Kubahatisha ndio kukojeee?!
Goli 4 mtu kabahatishaa?
Ndio maana mashabiki wengi wa timu ya yanga hawanenepii,Rohini mpaka mwilinii,mnamajungu mnooo.
Pole sanaaa,najua unatamani hii Raha tunayopata uwe nayooo,ndio hivyoo haiwezekani.
Jitahidini mwakani na nyie angalau mshiriki na kufika hatua hii.
Shida kubwa ya mashabiki wa yanga,ni mdomooo,mna manenooooo!!
Ngumu kwao
Hao tunaocheza nao[emoji1787]
Itategemea tumeamkaje
Siku hiyo
Tunaweza tukasambaratisha
Ama tukatiwa adabu kama tumeingia
Kambi ya jeshi bila kibali
Huku tukichezea kichapo kama cha mbwa koko
Halafu hatujali wala nini
UpoChelsea vs Arsenal ikiwa mapema nitaenda kuangalia hii mechi .
Kha mashabiki wa asenali mna raha nyie au ni wewe peke ako ?
nipo bongo landUpo
London[emoji848]
Bahatisheni na nyinyimkibahatisha mnakelele nyie ni hawa View attachment 2174844