Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,198
Ni huku msewe ndanindani golaniNdio nimeona minazi
Hapo Davis kona[emoji1787]
Ni huku msewe ndanindani golaniNdio nimeona minazi
Hapo Davis kona[emoji1787]
Yaani muda wote moyo unakuwa upo juu juuMimi nadhani nikienda uwanjani ndo siku ntakayoanza kuugua presha
Aisee pole
Kuwepo uwanjani ina hitaji moyo .
Chuma Imenyooka sana hiyoShimba Ya Buyenze... ukikutana na Bentayga.. hua unaichukuliaje.. View attachment 2174713
Mimi nadhani nikienda uwanjani ndo siku ntakayoanza kuugua presha
Ooh polenimekoma mimi
o kho kho 🤣🤣Samahani narudia tena samahani ila siku zote huwa najua wewe ni mwanamke mwee
Ooh pole
Huwa unaendaga ila ?
I rove youu Anne.Mkuu unaniangusha aisee
Wapigania lagase hatutetereki..
Si ulisema nikate??
Hebu kwamba weka picha yako kwanza
Nkamu saa hizi saa tano usinambie ushaweka na kufuta [emoji2297][emoji2297]Usiku kwenye saa nne nne hivi Nkamu[emoji3]
Ooh vyemanaendaga sana
Nkamu saa hizi saa tano usinambie ushaweka na kufuta [emoji2297][emoji2297]
Ooh vyema
Inahitaji company otherwise unaweza kuboreka eeh ?
Kweli kabisaYes lazima Company hasa kwa sisi watoto wa kike
Msalimia SA na Eron 🤣🤣Nkamu ngoja kwanza tushangilie ushindi[emoji3]
Badokiherehere kiliniacha sasa hapa nishaanza kuzuga nasikia usingizi[emoji23]
UnaTunasubiri hapa wawatandike
Uwezo wa kujibu wanao sasa? 🤣[emoji1787][emoji1787]
Wakijibu
Niite