Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nnaomba kufahamu hii picha ipo post namba ngapi
IMG_9919.JPG
 
Yaani acha tu ndugu yangu mimi kubembeleza kutumiwa picha za Sakayo na Atoto imekuwa nongwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tatizo wanaume wengi wa humu wakiombwa picha na wanawake mabichwa yanawajaa halafu hawatumi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi Tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona watajichosha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na nisivyojua kujibu mashambulizi[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom