Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
SiBlender sio heavy duty hili , nilisaga siku moja majani ya mlonge ikanigomea .
Nikatwanga tu kwenye kinu
Umwambie mshua
Asababishe jipya

SiBlender sio heavy duty hili , nilisaga siku moja majani ya mlonge ikanigomea .
Nikatwanga tu kwenye kinu

Mtihani haswa sema huwa namuandaa kabisa
Kila mtu ana kazi anazopenda aisee.

Yako hiyo original shosti .Hizo hizo blender za juice
Me nablend mpaka nazi
Kwa kweli.Blender zetu hizi za mchina zinakufa kweli ..
Tuwachie wenye heavy duty .
Bora tu awe mtata maana lazima kiue blenda
Hili hili kwanza mpaka liharibikeSi
Umwambie mshua
Asababishe jipya![]()
Nkamu wewe wa kishua una blenda ya kishuaNkamu mbona mimi nablend tu, kwanini ife?
Eeh Makubwahapo sawa
Naona Asec kapigwa, berkane anaongoza kundi, hili kundi ni gumuuui![]()

Hapana.Basi tufanye jini kilamba mwiko
Itazima hapo hapoKinauaje

Jini NkamuNdo tukuite jini nani Sasa..?

Ndiyo mkuu msaga kunguniHuyu ni Pep![]()
Ngoja ajeHapo anafuaje ama ana washing mashine??
Ooh inafanya chakula kinakuwa kitamu ..Mimi mboga nyingi za majani natia karanga
Zinanoga
Nkamu wewe wa kishua una blenda ya kishua
Eeh Makubwa
Kundi gumu hili anoangoza kwa point ngapi
Dah mpira huuAna point 10 halafu anafuatiwa Asec ana 9
nimekata tamaa
Poleni sana.. chief.. ndio footballSalama Kaka,Nipo taifa ila presha umepanda sn.Simba wwnatunyima ushindi wa mapema,nafasi kibao wanachezea