Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Una mhanya eeh [emoji1787]Popoma atamwaga povu sio poa
Ngoja atimbe
Uone timbwili la asha ngedere
Una mhanya eeh [emoji1787]Popoma atamwaga povu sio poa
Hapa
Dah mpira huu
Wachezaji wamefanya kazi nzuri ila
Halafu basi tu kama tungeruhusiwa sisi Lumumba ningeleta mahari hapo ufipa.
Itauma , huwa sikilizi vipindi vya mchezo week hiyo yote [emoji23].yaani nitalia jamani[emoji23][emoji23][emoji23]Uwii Simba wafanye namna jamani
Huwa ananifurahisha sana kule jukwaani [emoji23][emoji23]@GENTAMYCINE
Mkijitahidi sana mtadrawItauma , huwa sikilizi vipindi vya mchezo week hiyo yote [emoji23].
Ngoja tuone wakirudi baada ya halftime
Nipo huku tandika ndanindani[emoji23]Hapa
Ni Buza ya Abiola[emoji1787][emoji848]
Hukutakiwayaani nitalia jamani[emoji23][emoji23][emoji23]Uwii Simba wafanye namna jamani
Tupo wote hapa Lumumba mkuuHalafu basi tu kama tungeruhusiwa sisi Lumumba ningeleta mahari hapo ufipa.
Ngoja tuoneMkijitahidi sana mtadraw
Vinginevyo ni kichapo
Ndio nimeona minaziNipo huku tandika ndanindani[emoji23]
Napenda mwanamke mwenye kucha ndefu na bado anaweza kufua nguo.Tupo wote hapa Lumumba mkuu
Hujaona tunapigania legase yetu
Hukutakiwa
Kuwa Uwanjani[emoji1787]
Ungekaa home uangalie
Kwa dstv 225
Mkuu unaniangusha aiseeNapenda mwanamke mwenye kucha ndefu na bado anaweza kufua nguo.
Itauma , huwa sikilizi vipindi vya mchezo week hiyo yote [emoji23].
Ngoja tuone wakirudi baada ya halftime
Aisee polengoja ila nimekata tamaa sana
Tunasubiri hapa wawatandike
Mimi nadhani nikienda uwanjani ndo siku ntakayoanza kuugua preshaAisee pole
Kuwepo uwanjani ina hitaji moyo .