Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

AF618B32-D7E1-4547-A580-102C9234C7E2.jpeg


912C7710-2DE8-42EA-A721-385F394E5B23.jpeg


This movie never gets old, the soundtrack too.
 
Kisamvu sijawahi kujaribu kuweka kwa blender
Ah ninayeishi nae mtata hawezi kukubali kuweka kisamvu kwa blender ..huwa ananisaidia kutwanga .

Mlonge nilisaga kwenye mashine ndogo ile

Blender za Kenwood ni nzuri , multipurpose haswa .

Kama anakusaidia sawa haina neno

maana kutwanga nako mpaka kilainike mtihani
 
Back
Top Bottom