Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,150
- 28,862
AminaMungu ni mwema atatenda
AminaMungu ni mwema atatenda
Hiyo inakuwa balaaa
Leo tu nimejaza sahani ..siku nitajaribu hiyo .
Ameshatoka kwa kina binti AbiudUmeshashindikana wewe
Hizo kucha![]()
Hamshindi
Kho kho kho!!!!Leo nimekumbukaView attachment 2174704
Wewe endelea kula kisamvuIsije kuwa vakasheni yenu ile na hamsemi![]()
Yau yauuuuKho kho kho!!!!
Mwambie akhsante sana nashukurukasema asante ila anaomba akutumie kesho Vocha ya elfu 10 mtandao wowote mpe namna ya kukutumia
Bwana ametenda. Ila angalau unajitahidigi na soksiLeo nimekumbukaView attachment 2174704
Mjukuu Kwa guu hilo, nadhani nianze mchakato wa kufuga Mbwa Mkali hapa nyumbani na Ile biashara ya kuuza Barafu hapa naifunga rasmi 🤪Leo nimekumbukaView attachment 2174704
Week ijayo tu Mungu akipendautaleta mrejesho
ukishakula unahangaika jinsi ya kutoa shibe
Kata kucha.
Ngoja niendelee kukaza
Bado namtazamia Bwana.



JeshiiiiiiiiiYau yauuuu
Kumbe kitambo eehNdio
Umejua leo![]()
KhaaaaMjukuu Kwa guu hilo, nadhani nianze mchakato wa kufuga Mbwa Mkali hapa nyumbani na Ile biashara ya kuuza Barafu hapa naifunga rasmi 🤪