Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,842
- 57,491
Thanks Mjukuu wangu mpenzi 😘Dear granny
Huyo kijana wa hovyo wala asikuchoshe 😀
Thanks Mjukuu wangu mpenzi 😘Dear granny
Huyo kijana wa hovyo wala asikuchoshe 😀
Kama shumiletaUmeshashindikana wewe
Hizo kucha![]()
Hapa kila kiatu kilikuwa sehemu yake; ndiyo nimevitafuta angalau nivikanyagie tu kwa juu.Ngoja niendelee kukaza
Maana kuna muda naona kama zinanibana..
Heaven Sent endelea kukomaza unyayo huo![]()
Hivi kisamvu cha pure muhogo ni kizuri?Hiyo inakuwa balaaa
Leo tu nimejaza sahani ..siku nitajaribu hiyo .
🤣🤣🤣🤣we hatariHapa kila kiatu kilikuwa sehemu yake; ndiyo nimevitafuta angalau nivikanyagie tu kwa juu.
Mwambie akhsante sana nashukuru
Muulize anapenda kinywa kipi/gani?
Kwangu mimi cha mhogo si kizuri bora kile cha mpira .Hivi kisamvu cha pure muhogo ni kizuri?

Bora nichelewe kupata wajukuu lakini hao vijana wanaokimbia majukumu siwataki nyumbani, ombi langu la kumiliki mguu wa Kuku limefika kamati ya usalama ya Wilaya, wape habari zao 🤪🤪🤪Khaaaa
We babu!!
Sasa ukifanya hivyo si utachelewa kupata vitukuu
Kesho tutaona, msikimbie tu!Muda utaongea rafiki
Simba hao tunasonga mbele .
Wewe 🙄Aiseeeeeeeee!!
Mpo wengi sana naona, hivi nani kawafundisha kushabikia vitu vya ajabu!!Shindwaaaa
Hapa kila kiatu kilikuwa sehemu yake; ndiyo nimevitafuta angalau nivikanyagie tu kwa juu.



Mpo wengi sana naona, hivi nani kawafundisha kushabikia vitu vya ajabu!!
Yatawashinda 🤣🤣Ndio
Nashangaa hapa
Team ya Taifa hiiMpo wengi sana naona, hivi nani kawafundisha kushabikia vitu vya ajabu!!
Tupo hapa hapa ..Kesho tutaona, msikimbie tu!
Nkamu nikikusimulia mikasa yangu na viatu utacheka afu utashia kunihurumia tu.Nkamu umenichekesha![]()
Cha mpira?Kwangu mimi cha mhogo si kizuri bora kile cha mpira .
Tena nimezembea kupanda kisamvu ..mpaka vimti vimekauka![]()