Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,608
- 24,195
Mtashinda na kulala njaa leo!
Mmeanza uchawi[emoji3]
Mtashinda na kulala njaa leo!
Sio uchawi, tunawaombea njaa tu![emoji23]Mmeanza uchawi[emoji3]
[emoji1787][emoji1787]Samahani narudia tena samahani ila siku zote huwa najua wewe ni mwanamke mwee
Tuombe MUNGU mrembo wangu,Leo ushindi upoNa kampani niliyonayo ni watu wa Yanga nitakoma[emoji3]
Kabisa Mechi za Nyumbani ndiyo wanashinda.
Naamini ushindi wetu leo
HamshindiAhh itauma roho jamani
Mungu ni mwema ila
Halafu ukianagalia tabia ya Group D mechi za nyumbani ndo wanashinda , Hakika ushindi ni wetu leo .
Ooh!!sawa
Bhasi mwenye hizo lipsi/mdomo mwambie nina/kuna vocha ya elfu tano mtandao wowote ule anaotumia
Muda utaongea rafikiMnachezea, hilo halina maswali. Mnawakilishana, sio kuwakilisha nchi[emoji23][emoji23]
ShindwaaaaSio uchawi, tunawaombea njaa tu![emoji23]
Isije kuwa vakasheni yenu ile na hamsemi[emoji16]Tumeshuka kula mara moja then tunaendelea na safari [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
9.8ms squared ananituhumu eti Mimi ni Babu niliyefoji umri, mwambie kuwa nina umri wa age mate wenzangu akina Lyatonga 🤪🤪Kuna habari gani darling babu? 😅
Leo nimekumbukakasema asante ila anaomba akutumie kesho Vocha ya elfu 10 mtandao wowote mpe namna ya kukutumia
Kipi kilifanya uhisi hivyo Mkuu?
Apology accepted
🤣🤣Umeshashindikana wewe
Hizo kucha[emoji849][emoji849]
Siku weka karangaa kidooogo na Nazi [emoji1544]
Unajikuta unakula chakula kingi bila kutegemea
Aiseeeeeeeee!!Leo nimekumbukaView attachment 2174704
Inaonekana nzuriAmerican underdog
Kuna kaujumbe Brenda aliongea, ni noma na nusu.
Mguu wa bia😍Leo nimekumbukaView attachment 2174704
Muda utaongeaHamshindi