Siku ya 3!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niache mara ngapi?? Leo siku ya 3
Nimeachaa siku hizi nakunywa juice tu
Haha kwamba unataka kusema wanawake hatupendani tunaoneana wivu au?? Mbona tupo wengi tu tumecomment kule juu??
Atakuwa hajaona comments zenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haha kwamba unataka kusema wanawake hatupendani tunaoneana wivu au?? Mbona tupo wengi tu tumecomment kule juu??
Sikuona aiseee...ila naona hazijapokelewa kwa amsha amsha kiihvyo, labda kwakua mdada hajichanganyi sana labda
Siku ya 3!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe bado,siku ukiacha nitakupa zawadi..na ungekuwa karibu ningekusaidia kuacha.
Hutaki akusifie na kile kizungu chake matata!? [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usimuite jamani
Asubutuu
Mtoto wa mzumbe unanitamanisha nikutafuneBasi usilie sana. Kwa heshima yako blaza.
Hubby akiniona huku sina ndoa,jiandae kunisitiri we mlozi.
NB:Na hiyo mkagoogle basi[emoji847][emoji847]View attachment 1222026
HallelujahNdiyo niko kufumua nywele saa hiiView attachment 1248962
Amini ungeacha ndani ya wiki tu.Ungefanya nin sasa?? Nilihama sehemu niliyokua nakaa mwanzo kwakua nilikua na marafiki wengi wapenda pombe nikijua nitapunguza,,,,nilipohamia nikapata wengine walevi kuliko wale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dearest
Ya kwangu imepokelewa vema eeh[emoji7][emoji847][emoji847][emoji847]!?
Hakika.Ndio ndio nyie si wazee wa kuliamshaa
Haujapewa taarifa na wewe ukareport kituo cha polisi cha karibu ?
Sikuona aiseee...ila naona hazijapokelewa kwa amsha amsha kiihvyo, labda kwakua mdada hajichanganyi sana labda
Atakuwa hajaona comments zenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ungefanya nin sasa?? Nilihama sehemu niliyokua nakaa mwanzo kwakua nilikua na marafiki wengi wapenda pombe nikijua nitapunguza,,,,nilipohamia nikapata wengine walevi kuliko wale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Haujapewa taarifa na wewe ukareport kituo cha polisi cha karibu ?