Ni AbihudUliniumba nikuabudu (You created me to worship you)
Kwa ajili yako mimi naishi (Because of you I’m alive)
Pasipo wewe singekuwepo (Without you I would not be here)
Mimi ni kazi ya mikono yako (I am the work of your hands)
Baba ninaona nikuabudu (Father I prefer to worship you)
Maana matendo yako ni mengi sana (Because your works are many)
Ishara zako Baba ni nyingi mno (Your signs are many)
Maana wewe ndiye Mungu wangu (Because you are my God)
Uliniumba niseme matendo yako (You created me to tell of your actions)
Wewe ndiwe Mungu wa miungu (You are the God of gods)
Wewe kimbilio letu na ngome yetu (You are our fortress and help)
Hakuna aliye kama wewe (There is no one like you)
Maneno ya kusema yananikosa ( I am lost for words)
Maana matendo yako ni ya ajabu (Because your works are wonderful)
Maana ishara zako ni nyingi mno (Because your signs are many)
Kwa macho nimeona makuu yako (With my eyes I have seen your greatbess)
Masikio nimesikia matendo yako (My ears have heard your works)
Ndio maana nimetambua (That is why I know)
Ya kwamba niliumbwa nikuabudu (That I was created to worship you)
Mungu wa milele (Everlasting God)

Ikungu lya babinza🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! hilo jina sasa!!!Njaa
Wewe wa kishua bhana
Inahusu akina sisi
Kutokea mwalatu/mwandoya huko na Ikungu lya babinza
Ushafuta
Ntondo....kesho
Igolo....jana
GasumaNjaa
Wewe wa kishua bhana
Inahusu akina sisi
Kutokea mwalatu/mwandoya huko na Ikungu lya babinza
Kuna majina kuleIkungu lya babinza! hilo jina sasa!!!


Wasukuma na Wanyamwezi si wale wale tu? Wewe ni bageshi tu hata ufanyeje. Wanasarufi wa mwanzo mwanzo walikichukulia Kinyamwezi kama lahaja ya Kusini ya Kisukuma (Kimunadakama). Mpaka baadaye kidogo walipochambua data za Kileksikografia kwa uangalifu ndiyo wakaona wakitenge Kinyamwezi kama lugha inayojitegemea.Basi tuu... ila wasukuma......!!!
Au basi.....![]()
Acha nibaki hivihivi na unyamwezi wangu.
Shida hakuna tofauti....![]()
Miji yote hiyoGasuma
Migato
Majahida
Gidalimanda
Lūgūlū
Salunda
Nyamalapa
Bunamhala
Somanda
Sima
Ngashanda
Gabu
Mahaha
Ng'walushu
Kilulu
Sanungu
Ikungwilipu
Ikungulyabashashi
Sanungu.....
Ngashanda...
Old Maswa
Nyakabindi
Ng'wakibuga
Dutwa
Sapiwi.....

Huko ni kula kuku na mbuzi tu yaani. Raha sana!Miji yote hiyo
Nimeshaifika
Nyangokolwa
Habiya kuelekea kanadi huko
MnoHuko ni kula kuku na mbuzi tu yaani. Raha sana!

Wasukuma na Wanyamwezi si wale wale tu? Wewe ni bageshi tu hata ufanyeje. Wanasarufi wa mwanzo mwanzo walikichukulia Kinyamwezi kama lahaja ya Kusini ya Kisukuma (Kimunadakama). Mpaka baadaye kidogo walipochambua data za Kileksikografia kwa uangalifu ndiyo wakaona wakitenge Kinyamwezi kama lugha inayojitegemea.
WanyamweziYoooh mimi ni bageshi.....!!!! Gineheeee....
Mimi nabishaaa, basukuma na banyamwezi ni mtu na binamu yake...!!!
Sema tumeoleana sana ndo maana mulemule tuu ila mi basi sasa nimeshindwa...!!!
Naenda kubatizwa ziwa Toga.... sijui bado lipo hili ziwa.... mabadiliko ya hali ya nchi/hewa....
Samaki wake walikuwa watamu.... nimemkumbuka shangazi yangu Misoji....🥲
Alikuwa akinifatia samaki anawapika na karanga na nswalu wenye uyoga na ugali iiigghhhh...![]()
Wanyamwezi
Kwenye mboga za mimea
Mpo juu
Hilo halina ubishiNa tunavyopenda kula sasa....![]()


Hilo halina ubishi
Maana shughuli pevu
Mnaiweza
Mpo juu kama minara ya simu![]()
Sure Thing Bro


Lord, una rangi nzuri na Umbo zuri madam.After Church
Tusiache kumkumbuka Mungu siku za ujana wetu