Nilikuwa najiuliza wewe ni nani, ila kwa hizi cents nimekujua 😀
Aaargh, hebu onyesha mfano niige basi!MALCOM LUMUMBA mkuu shikamoo, naomba uselfike..
Hebu ngoja niangalieMALCOM LUMUMBA mkuu shikamoo, naomba uselfike..
Nasubiria ☺️Hebu ngoja niangalie
Sasa nimetoka maeneo mabaya, lakini ngoja nikutumie tu!Nasubiria ☺️
Jitahidi 🤗Sasa nimetoka maeneo mabaya, lakini ngoja nikutumie tu!
Nimetuma mbili aiseeHata sijasifia umefuta 😂 MALCOM LUMUMBA
Yaan yaan ngoja tu iwe hivi 👏 👏
Nimefanikiwa kuziona zote, ila umewahi kufuta 😁😁Nimetuma mbili aisee
Aiseeee, 🤣Nimefanikiwa kuziona zote, ila umewahi kufuta 😁😁
Ile dental formula/ tabasamu naweza hata ilia ugali nusu na ukaisha 🏃♀️ 🏃♀️
Sidhani kama uliishia kunywa maji peke yake....Drink water
Chap kwa haraka dk 1 unafutilia mbali 😂

