Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,608
- 24,195
Lord, una rangi nzuri na Umbo zuri madam.
Shukrani Mkuu[emoji1545]
Lord, una rangi nzuri na Umbo zuri madam.
Nkamu naomba urudie jamaniShukrani Mkuu[emoji1545]
Nkamu naomba urudie jamani
Nkamu sitokuwepo usiku, basi nitumie hata PM kama itashindikana hapa[emoji1787][emoji1787]Nkamu Nkamu nitaweka usiku[emoji3]
NaombaLenie [emoji39][emoji39]View attachment 2173950
Nyama ya nini hii, naona kama kimkia hapo😂 kimeniogopesha
sitakii 😬😬😬Naomba
Mungu ni wetu sote....sitakii [emoji51][emoji51][emoji51]
Next week nitakupitia uionje live😄😄Nyama ya nini hii, naona kama kimkia hapo😂 kimeniogopesha
kwendraaaa zakoMungu ni wetu sote....
Hahahaa sawa, tafrahi hope ni tamuuu😋😋Next week nitakupitia uionje live😄😄
traamu sanaaa unaweza jiuma mdomo 😋😋😋Hahahaa sawa, tafrahi hope ni tamuuu😋😋
Kabisa bro. Tusijisahau sana huku mijini mpaka tukirudishwa kwenye masanduku tunakwenda kutia aibu tu yaaniSure Thing Bro [emoji1545][emoji1545]
Nkamu sitokuwepo usiku, basi nitumie hata PM kama itashindikana hapa[emoji1787][emoji1787]
We hujasoma boarding school ehhhh? 😏😁Naomba 😋😋😋
Nina safari usiku kucha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utakuwa wapi wakati leo kuna tukio la kimataifa
Tukio gani? [emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utakuwa wapi wakati leo kuna tukio la kimataifa
Hii fanya namna aseee 😋😋😋.. maana mandalizi ni 🔥🔥🔥It's been a minute....ngoja nione kama bado niko vizuri 😗View attachment 2173973View attachment 2173974