Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Hahahaaaa na network ikipotea hamna kitu ya maana unaweza fanya😄😄😄 atmosphere inapelekea dk 1 kupoteza pambano.. asikia ile sound ya mashabiki network inakataaa anaona liwalo na liwe..
Hahahaaaa na network ikipotea hamna kitu ya maana unaweza fanya😄😄😄 atmosphere inapelekea dk 1 kupoteza pambano.. asikia ile sound ya mashabiki network inakataaa anaona liwalo na liwe..
hahahaha.wamefuata wadhungu.ila cha ajabu jana nimewakuta wengi sana kutoka dar hapa nilipo.. hadi nikashangaaa ni wilayani kuna project ya wazungu.. nao wamezagaaa kila kona au sijui ilikuwa vunja jungu
😂😂😂 amna jamanaah! RC wa kisasa wewe.. mie mbona bi mdashi kafunga.. huwa hasimami hata siku moja aisee... 😄😄😄 usije kuwa unafunga ki michongo asee
😄😄😄 pambano linakuwa ni KO.. visingizio vinaanzaHahahaaaa na network ikipotea hamna kitu ya maana unaweza fanya
Hahahaaa balaa😄😄😄 pambano linakuwa ni KO.. visingizio vinaanza
Uzuri kufunga sio lazima kuacha kula.. kufa ni kupana sana😂😂😂 amna jaman
Ila hiyo ipo kwenye sheria za kanisa na ndio maana j2 hazihesabiwi katika zile siku 40.
Ila mtu anaweza funga kwa maombi yake binafsi, nadhan inaruhusiwa
So leo ni kula kujigalagazaa😂😂
ila ujue wewe ndio sababu mtu kupoteza pambano 😄😄Hahahaaa balaa
Yes muhimu kutenda yaliyo mema, kusali na kutoa sadaka + kusaidia wahitaji.Uzuri kufunga sio lazima kuacha kula.. kufa ni kupana sana
mala aah.. akili haipo sawa.. mala uchovu 😀😀😀Hahahaaa balaa
Hahahaaa em niacheeeee😂ila ujue wewe ndio sababu mtu kupoteza pambano 😄😄
Kufunga ni kutoa, unaweza amua sehemu ya budget yako ya kula ukaitoa nayo ni funga pia, unaweza ukaamua usile aina fulani ya chakula nayo ni funga.. unafunga vitu ambavyo vina addiction.. mwingine anaweza funga TV.. but ukiweza funga kula it means unaweza kuji control na kuweza ku control mengineYes muhimu kutenda yaliyo mema, kusali na kutoa sadaka + kusaidia wahitaji.
Msosi ni kama njia ya kujinyima tu
😀😀😀😀 mchezaji kaingia dk ya 0.20 kapoteza pambano.. anatolewa nje kwenye machelaHahahaaa em niacheeeee😂
Exactly👏👏Kufunga ni kutoa, unaweza amua sehemu ya budget yako ya kula ukaitoa nayo ni funga pia, unaweza ukaamua usile aina fulani ya chakula nayo ni funga.. unafunga vitu ambavyo vina addiction.. mwingine anaweza funga TV.. but ukiweza funga kula it means unaweza kuji control na kuweza ku control mengine
Unaonekana Mtamu sana, kwa hizo lips hatari.
Ahahahahaa nikipata chang'aa zinavimba...
Ila nikiwa arostooo....
Zinakuwa hiviii.....
View attachment 2173774
🙃🙃🙃 bi Kidude...
NjaaWee wa kishua kwioo! mie kapuku njaa kali tu!!!

