Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Game sikuhizi gumu best, watu wanalalamika wanafanya kaz kubwa af matokeo kidunchu🤣🤣sema joto zuri sana kwenye game 😀😀😀😀 hadi cheche zinatoka 😬😬😬
Game sikuhizi gumu best, watu wanalalamika wanafanya kaz kubwa af matokeo kidunchu🤣🤣sema joto zuri sana kwenye game 😀😀😀😀 hadi cheche zinatoka 😬😬😬
kaiser asubuhi kanipigia simu.. nikamuambia tumbo limevuga naendesha.. kumbe mood ya ulalo... huwa kama hivi hapa najirusha rusha.. kinanibembeleza tu 😀😀😀Hapo hata njaa husikiii, hadi mida ya mchana.
Aah raha sana
Hao watu hawana faida wauawe 😀😀😀😀 game ni shemu ya peke yake halihitaji utetezi aina yoyoteGame sikuhizi gumu best, watu wanalalamika wanafanya kaz kubwa af matokeo kidunchu🤣🤣
Hiko kitanda nikikipata nitanenepa😋kaiser asubuhi kanipigia simu.. nikamuambia tumbo limevuga naendesha.. kumbe mood ya ulalo... huwa kama hivi hapa najirusha rushaja.. kinanibembeleza tu 😀😀😀View attachment 2173690
Lazima wajitetee ndio wasionekane wazembe😂Hao watu hawana faida wauawe 😀😀😀😀 game ni shemu ya peke yake halihitaji utetezi aina yoyote
😄😄😄 vina raha yake, na uzuri mneso wake silence wa kubembeleza.. aah..Hiko kitanda nikikipata nitanenepa😋
Unanesa nesa kipapaa, shida zote za dunia unazisahau hapo😄😄😄 vina raha yake, na uzuri mneso wake silence wa kubembeleza.. aah..
😄😄😄 sema wahojiwe kwanza.. kabla ya kuuwawa.. nyie watu wenye vitu vyenu special ku balance sio rahisi.. inabaki kujitetea.. akienda kwenye viwanja common anakuwa mkali tu.. ila akitua hapo chalii.. akikutana na ile atmosphere anachanganyikiwaLazima wajitetee ndio wasionekane wazembe😂
Wauwawe na watupwe mbali huko mabondeni
Hamna namna asieee plus baridi.. kalii.. hakuna kutoka plus utulivu 😀😀Unanesa nesa kipapaa, shida zote za dunia unazisahau hapo
😀😀😀😀 kobe la asubuhi, mchana au usiku.. Hapa vimeumana Islam wamefunga na RC wamefunga.. maeneo pendwa tutegee kuwe na uhaba wa watuWale makobe tujuane
🤣🤣🤣🤣 weee em niache niende zangu kupata upako😄😄😄 sema wahojiwe kwanza.. kabla ya kuuwawa.. nyie watu wenye vitu vyenu special ku balance sio rahisi.. inabaki kujitetea.. akienda kwenye viwanja common anakuwa mkali tu.. ila akitua hapo chalii.. akikutana na ile atmosphere anachanganyikiwa
Leo RC hatujafunga, J2 hua hatufungi😀😀😀😀 kobe la asubuhi, mchana au usiku.. Hapa vimeumana Islam wamefunga na RC wamefunga.. maeneo pendwa tutegee kuwe na uhaba wa watu
hahahahaha,😀😀😀😀 kobe la asubuhi, mchana au usiku.. Hapa vimeumana Islam wamefunga na RC wamefunga.. maeneo pendwa tutegee kuwe na uhaba wa watu
😄😄😄 atmosphere inapelekea dk 1 kupoteza pambano.. asikia ile sound ya mashabiki network inakataaa anaona liwalo na liwe..🤣🤣🤣🤣 weee em niache niende zangu kupata upako
ila cha ajabu jana nimewakuta wengi sana kutoka dar hapa nilipo.. hadi nikashangaaa ni wilayani kuna project ya wazungu.. nao wamezagaaa kila kona au sijui ilikuwa vunja junguhahahahaha,
'maeneo pendwa tutegemee kuwe na uhaba wa watu '
aah! RC wa kisasa wewe.. mie mbona bi mdashi kafunga.. huwa hasimami hata siku moja aisee... 😄😄😄 usije kuwa unafunga ki michongo aseeLeo RC hatujafunga, J2 hua hatufungi