Asante…Vidole vizuri
Safi sana nkamu.
Mimi mwenzio natupia bia
You too bro!Happy Sabbath watu wa Mungu!
Waoooh❤️❤️❤️😘😘😘😘Yna2 Asante mamy kitambi knapungua pungua walau! Hio nguo ilikua inabana na kutuna sana hapo tumboni!View attachment 2173059
Ndio hapo leo asubuhi..... Naendelea na dozi na diet as usual!!Waoooh❤️❤️❤️😘😘😘😘
Picha la week end hili..🤗🤗
Nashukuru mamii...
Ukigeuka upande wa pili inakuwaje...Yna2 Asante mamy kitambi knapungua pungua walau! Hio nguo ilikua inabana na kutuna sana hapo tumboni!View attachment 2173059

Naona j'mosi sikutakiwa kupita huku
Hongera dear..njaa pambana nayo tu dear..mimi diet nilishashindwaa aiseeNdio hapo leo asubuhi..... Naendelea na dozi na diet as usual!!
Sema njaa sasa uwiiii!!
🤣🤣🤣🤣 . Unataka nigeuke????😂😂😜 Kweli usingepita sabato inaisha saa kumi na mbili jioni eti! Ngoja nigeukeUkigeuka upande wa pili inakuwaje...Naona j'mosi sikutakiwa kupita huku
![]()
Eeh poleNdio hapo leo asubuhi..... Naendelea na dozi na diet as usual!!
Sema njaa sasa uwiiii!!
Tufanye imeisha
. Unataka nigeuke????
Kweli usingepita sabato inaisha saa kumi na mbili jioni eti! Ngoja nigeuke


Yanii... Sema nimepunguza kiasi cha chakula nakula kidogo sana ila ikiniuma Mara kwa mara nakula kula bites matunda na juisi tu kwa wingi!Hongera dear..njaa pambana nayo tu dear..mimi diet nilishashindwaa aisee
kabisa mamy asante ndio nafanya hivo!Eeh pole
Tafuta healthy snacks ushushie au kama leo weekend waweza tengeneza smoothie .
Yna2 Asante mamy kitambi knapungua pungua walau! Hio nguo ilikua inabana na kutuna sana hapo tumboni!View attachment 2173059
kamera tu simara!Dada Mwenye figure yake
🤣🤣🤣🤣 haya dakika sifuri nageuka!Tufanye imeisha![]()
Okay vyemakabisa mamy asante ndio nafanya hivo!
Ewaaaa boss ledihaya dakika sifuri nageuka!