View attachment 2172555
Miaka hiyooo wakati Allen ananifukuzia... halafu simuelewi wala nini...😅
Hapo nimetoka Vijana Jazz Band 😊.
tupia basi tulaleUsiku mwemaaa 💤💤💤💤😴😴😴
Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige, na parare, na madumadu, na tunutu, jeshi langu kubwa nililotuma kati yenu. Nanyi mtakula chakula tele na kushiba, na kulihimidi jina la BWANA, Mungu wenu, aliyewatendea mambo ya ajabu; na watu wangu hawatatahayari kamwe. Nanyi mtajua ya kuwa mimi ni katikati ya Israeli, na ya kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wenu, wala hakuna mwingine; na watu wangu hawatatahayari kamwe.Happy SabbathView attachment 2172572
Mwee Bina
watu siku hizi ni sex tu.. upendo wa wengi umepoaMabaharia watakwambia we tafuta hela tu![]()
Umemtambua sasa baba watoto wako eehNilikuwa najiuliza wewe ni nani, ila kwa hizi cents nimekujua 😀
Bado unaangalia macho legevu ya Nuz 😆Umemtambua sasa baba watoto wako eeh
Nimemuacha kalala.. mie nimekuja kwa kaiser kupambania kombeBado unaangalia macho legevu ya Nuz 😆
Happy Sabbath mkuuHappy Sabbath watu wa Mungu!
kwa msisiJumuia imeisha ,tuanze sabbath
Hata ofisi ya Kaiser hutaielewa mkuu wacha kabisa 😂😂Nimemuacha kalala.. mie nimekuja kwa kaiser kupambania kombe
NB unatoka kwako mkeo hajarudi ku bonj kidogo.. inabidi uangalie performance 😂😂
Small boys 'gerare' here... 😂 SYB
eeh.. mambo ya tanga acha kabisa, mwenyewe akili nimeiacha nyumbani.. huku upo mwili tuHata ofisi ya Kaiser hutaielewa mkuu wacha kabisa 😂😂
hahahaha.kwa msisi
usishangae nikawa RC mkoa flanihahahaha.
hongera sana.siwezi shangaa mkuu.kila la kheriusishangae nikawa RC mkoa flani