Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,608
- 24,195
Hata huko juu ilikua inabana sana saivi iko lose ! Na mafuta mafuta mwilini pia yamepungua !View attachment 2173071
Tukomeshe tukomeshe Mama[emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Hata huko juu ilikua inabana sana saivi iko lose ! Na mafuta mafuta mwilini pia yamepungua !View attachment 2173071
Niache yna niwacheeeee sina hamu hapa!!! Nitakuchek nikitulia!! Hebu tuselfike kwanza🤣🤣🤣🤭!!🤣🤣🤣🤣🤣Kakuchambaa!!kisa Nini???nimechekaaa nyie bana...😂😂😂😂😂😂
Mahondaw Mimi nacheka hapa Jamani..🤣🤣🤣🤣naomba utulie kwanza ..sawa tuselfikeNiache yna niwacheeeee sina hamu hapa!!! Nitakuchek nikitulia!! Hebu tuselfike kwana🤣🤣🤣🤭!!
Tukomeshe tukomeshe Mama[emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Cheka tu uongeze siku za kuishi maisha ndio hayahaya!!😘😘Mahondaw Mimi nacheka hapa Jamani..🤣🤣🤣🤣naomba utulie kwanza ..sawa tuselfike
Boss ledi kama boss ledi[emoji3059][emoji3059][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Unapotea sana... halafu nina vocha yako ina Wiki mbili iko TU chini ya kava la simu!
Kaa hapo nikutumie vocha yako nilishaikwangua kitambo ipo tu mimi situmii airtelBoss ledi kama boss ledi[emoji3059][emoji3059][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji3059][emoji3059]Kaa hapo nikutumie vocha yako nilishaikwangua kitambo ipo tu mimi situmii airtel
Naituma saivi[emoji3059][emoji3059]
Wewe muhandsam wangu usinifanyie hivyoo 🤓🤓Nimeona majina fulani, moyo ukauma. Nikaamua kuwa mpole. ☺️
Airtel[emoji3059][emoji3059]
Yaani nipo njianiSaint Anne uko wapi mi naituma hii Vocha imekaa sana!
Mungu akuweke sana boss ledii [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hee si nishaituma 👆👆 hapo!!Yaani nipo njiani
Ngoja nifike
Mungu akuweke sana boss ledii [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Nimepataaa
Nani kama boss ledi????[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Usijareeee!!![emoji3577][emoji3577]
Halafu hujatoka selfii kitambo sana wewe! Tufanyie wepesi pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!Nyie kuwa na boss ledi ni raha[emoji3059][emoji1787][emoji2096]
Hapa Nina uhakika wa bando wiki nzima[emoji126][emoji126]