Unapotea sana... halafu nina vocha yako ina Wiki mbili iko TU chini ya kava la simu!Ewaaaa boss ledi
Zigo kama zigo...Hata huko juu ilikua inabana sana saivi iko lose ! Na mafuta mafuta mwilini pia yamepungua !View attachment 2173071
AiseeeHata huko juu ilikua inabana sana saivi iko lose ! Na mafuta mafuta mwilini pia yamepungua !View attachment 2173071
Jamani, hatari kwa afya ya ubongo!!Hata huko juu ilikua inabana sana saivi iko lose ! Na mafuta mafuta mwilini pia yamepungua !View attachment 2173071
Hii ni futari??
Mouth-watering
Hata huko juu ilikua inabana sana saivi iko lose ! Na mafuta mafuta mwilini pia yamepungua !View attachment 2173071


Nakuja..andaa wine isiyo na likevi!😋The weekend...karibuniView attachment 2173069
Jamani nyieeee Mungu fundiii😘😘😘 braza alipata chombo hapa Jamani😍😍😍😍Hata huko juu ilikua inabana sana saivi iko lose ! Na mafuta mafuta mwilini pia yamepungua !View attachment 2173071
Wewe tu..ukiwa tayari sema nikutumie location...usafiri juu yangu.Nakuja..andaa wine isiyo na likevi!![]()
🤭🤭🤭😂Jamani, hatari kwa afya ya ubongo!!
Hapana 😄😄Hii ni futari??
Yna niache mie sitaki kucheka ujue!! Ukimuona Msalimie sana juzikati kanichambaje khaaa!! 🤭🤭🤭🤣🤣🤣!Jamani nyieeee Mungu fundiii😘😘😘 braza alipata chombo hapa Jamani😍😍😍😍
🤣🤣🤣🤣🤣Kakuchambaa!!kisa Nini???nimechekaaa nyie bana...😂😂😂😂😂😂Yna niache mie sitaki kucheka ujue!! Ukimuona Msalimie sana juzikati kanichambaje khaaa!! 🤭🤭🤭🤣🤣🤣!
Vipi amenepa eehh??? 🤭! Mwambie asinenepe sana 🤣😂😂😜😜😜!
Kabisa mkuu nikaondoe huu ushamba asee!!😜Wewe tu..ukiwa tayari sema nikutumie location...usafiri juu yangu.
mbona hufikii toka huo mda.. haya bwanaaa wacha nikajifiche 😎😎At your service bossView attachment 2172972