Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20220402_135329.jpg
 
mawardat Nuzulati Mjep
And the rest.. On behalf, We wish y’all Ramadan Mubarak…

Have the best of Maher Zain
InshaAllah is the best song to me, mbarikiwe na hiyo.
Inshaallah - Maher Zain
Madina - Deen Squad
Sidi Mansour - Saber El Rebaï
Jina Langu Ramadhani - Arafa Abdillah
Ya Helwakom - Miami Band
I Love You Mama - Kale Katoto Kameimba Na Mama Yake Sijui Kanaitwa Nani Wanaojua Wanisaidie

Hizo kwangu ndiyo best arabic sijui niseme islamic songs hivyo nami nawatakia ndugu zetu waislam wote Ramadhan Kareem na mkiweza msikilize hizo
 
Unaweza mtambua ambition plus hapo ni yupi katika hao vijana...
Selfie ilichukuliwa miaka saba iliyopita..
Hapo ni cafeteria, ni kazi yangu ya kwanza ya kueleweka...

Katika hao vijana wanne,watatu wote walifukuzwa kaz kwa nyakati tofauti,kila mmoja na ana stori yake.

Aliyebaki kazini ni ambition + tu.
Mwenye yellow tshirt🤔
 
Inshaallah - Maher Zain
Madina - Deen Squad
Sidi Mansour - Saber El Rebaï
Jina Langu Ramadhani - Arafa Abdillah
Ya Helwakom - Miami Band
I Love You Mama - Kale Katoto Kameimba Na Mama Yake Sijui Kanaitwa Nani Wanaojua Wanisaidie

Hizo kwangu ndiyo best arabic sijui niseme islamic songs hivyo nami nawatakia ndugu zetu waislam wote Ramadhan Kareem na mkiweza msikilize hizo
😍😍I love Mama haipiti wiki bila kuisikiliza masikioni kwangu ❤️🙏🏽
 
Back
Top Bottom