Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ukiangalia vizuri,hapo mpiga picha na huyo bwana mwenye ringi na saa mikononi walikua wakishindana nani mwenye simu inayeweza kuchukua selfie kali,mpiga picha akiwa na simu inaitwa asus na bwana mwingine akiwa na camon c9..

Hakika ni ngumu kumjua ambition + katika hao vijana wanne.
duuh!
 
Mimi naona ni huyo mpiga picha hata kama nimekosea hahaa
 
Unaweza mtambua ambition plus hapo ni yupi katika hao vijana...
Selfie ilichukuliwa miaka saba iliyopita..
Hapo ni cafeteria, ni kazi yangu ya kwanza ya kueleweka...

Katika hao vijana wanne,watatu wote walifukuzwa kaz kwa nyakati tofauti,kila mmoja na ana stori yake.

Aliyebaki kazini ni ambition + tu.

View attachment 2172743
Hujabadilika mkuu ndani ya Yellow ya Yanga na CCM
 
20220402_131350.jpg
 
Back
Top Bottom