Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Ubustani dadaBarikiwa kwa kutusafisha machohalafu ninyi ndio mnaelewa maana ya uzi sio mtu anaweka picha na kufuta kama sio ushamba ni nini
#povu
Ubustani dadaBarikiwa kwa kutusafisha machohalafu ninyi ndio mnaelewa maana ya uzi sio mtu anaweka picha na kufuta kama sio ushamba ni nini
#povu
Kwahiyo walimuacha tu aitafune waya huku wanampiga picha ilk unabii utimie? Nje ya mada sorryView attachment 1248525
Naomba nikuone hata kidole tuHahaha....Mikanjuni
One day...Naomba nikuone hata kidole tu
Sawa mkuu. alafu siku hizi umeanza shift ya usiku nini? 😂 😂Hapana mkuu
Sina tabia hiyo jamani
Eti eenh..Kizazi sana hiyo hapo, inapendeza kuwa kama avatar.

Eti eenh..
Kwahiyo nibadilishe hii avatar ya johny sins![]()
Ruaha mbuyuni karibu na milima udzungwathanks God, nimefika salama jijini mbeya.
picha yangu ya leo nikiwa safarini kuja mbeya.
kama wewe ni mzoefu wa safari za back to back za dar-morogoro-iringa-mbeya nitajie sehemu ambayo nimepiga picha hii.
ukipatia nitakupa zawadi.
View attachment 1247495
Iyofithanks God, nimefika salama jijini mbeya.
picha yangu ya leo nikiwa safarini kuja mbeya.
kama wewe ni mzoefu wa safari za back to back za dar-morogoro-iringa-mbeya nitajie sehemu ambayo nimepiga picha hii.
ukipatia nitakupa zawadi.
View attachment 1247495
Mtoto wewe unanitesa moyo wangu wewe
Mkuu ni bongo yetu hiii
Nikumbushe hebulooh