MweehLeo nimekuona bila chenga Boss Lady. Mtakatifu uko wapi? Unapitwa...halafu tunakosa mapambio yako...
Mama yako anajua kilicho bora. She's well informed.Mazuri sana yale mafuta Mama home yalikuwa ni mafuta yake ila kwa sasa nadhani aliyekuwa anamletea hapatikani karudi kwenye nazi.
Kwani humjui bossSema tu mkuu tumjue 😂😂😂
Uliza kiatuu.........✌✌
Hahaha......... Ni Bora kuongea Kwa nguvu ili Kila mmoja asikie, hawachelewi hawa kusema umenipa Limbwata Babu yako 🙈🙈🙈🤪Ongea kwa nguvu kila mtu asikie
[emoji7][emoji7][emoji7]Tulale Sasa....[emoji932][emoji42][emoji42][emoji42]
View attachment 2169833
Huweki vocha Leo?Uliza kiatuu.........[emoji111][emoji111]
Kumbe ukichelewa kulala unakutana na mambo mazuri hivi🙊😍Tulale Sasa....🛌😴😴😴
View attachment 2169833
[emoji23]Kumbe ukichelewa kulala unakutana na mambo mazuri hivi[emoji87][emoji7]
BalaaaKumbe ukichelewa kulala unakutana na mambo mazuri hivi[emoji87][emoji7]
Ila Mungu fundi aisee🙈
Balaa Mungu kibiduuuIla Mungu fundi aisee[emoji85]
Kwa kuwa wengi wamelala, fanya utaratibu tuone walau selfika Moja best 🤪
Hahaa nikituma utashangaa wanaamkaa!!!Kwa kuwa wengi wamelala, fanya utaratibu tuone walau selfika Moja best [emoji2957]
Simba hoyeeeeee✌✌✌✌✌Hapo nywele zimepata infections si nkanyoa bwana[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]para baada ya ushauri wa DaktariView attachment 2169834View attachment 2169835
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Kesho mkuu