Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tuko Silver Palm sisi
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png


Leo umeselfika na sikuambulia hata moja. Dimples zako huwa zinaondoa steresi kama hujui. Kama kuna uwezekano nifanyie wepesi. Leo nina siteresi hatari
emoji2099.png
emoji2099.png
emoji2099.png
emoji2099.png
emoji2099.png
emoji2099.png
emoji2099.png
Silver palm mpaka ibomolewa naona..

Australian dollar’s user mpaka amesharejea … hatimaye pisi la Vienna limemuachia 🤣

Pole kwa stress, kunywa maji uwe busy na kususu
 
Bageshi naomba nisamehe, nimepiga na magoti hapa nilipo
Tusahau ya nyuma
Mpaka mimi na dada tukae kikao kwanza. Tukiamua kukusamehe sawa. Tukiamua kukutandika napo sawa...kwa sasa we relax tu mpaka kikao kitakapofanyika.

Umenikumbusha jinsi mabinti wa Kisukuma wanavyoombaga msamaha kwa kupiga magoti...Asante bageshi
 
Back
Top Bottom