Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
Shangazi ujue na jambo lako special![]()
Jambo gani tena mjomba?
Shangazi ujue na jambo lako special![]()
Basi leo nimepishana Sana na michongohapa internet imepata sana shida Strawbella kafanya maajabu sanaa.. kuna selfie zimetupiwa acha kabisaa kuna Lenie noma tupu.. leo ni shangwe tupu
Fanya kwanza ka upendeleo shangazi mie na wewe tena.. una kitu chako maalum kabisaaJambo gani tena mjomba?
Shangazi nataka kulala fanya kaupendeleo flani hivi amazing![]()
Fanya kwanza ka upendeleo shangazi mie na wewe tena.. una kitu chako maalum kabisaa


Sawa bageshi, mimi nitakua na uvumilivu sina namna.Mpaka mimi na dada tukae kikao kwanza. Tukiamua kukusamehe sawa. Tukiamua kukutandika napo sawa...kwa sasa we relax tu mpaka kikao kitakapofanyika.
Umenikumbusha jinsi mabinti wa Kisukuma wanavyoombaga msamaha kwa kupiga magoti...Asante bageshi
Shangazi mie siwezi kukujaza shangazi fanya ka ka upendelo nafis yangu ifurahi ikupe kituWe nijaze tu![]()
Shangazi shangazi nalala bwanaa.. 😊😊😊 naona ka upendeleo kamekuwa taabuKapi tena?
Sijakuona bado
🤣🤣🤣🤣🤣 umechelewaaaaa kuna mzungu ndio tunampa sifa zake hapa... ni balaaa nanusu!!🤣 Strawbella shikamoo 🙌🙌Nipo nakodoa tumacho..naona misifa tu huko juu kila nikiscroll naambulia 🙄🙄...
Nishatupia zakutosha mkuu!!Sijakuona bado
Aiyaaa...🙆🤣🤣🤣🤣🤣 umechelewaaaaa kuna mzungu ndio tunampa sifa zake hapa... ni balaaa nanusu!!🤣 Strawbella shikamoo 🙌🙌
Badotayari au bado 😎😎
Usiwaze best akitupia tu will notify you asapAiyaaa...🙆
Akiweka Tena nistue chap..sipo mbali na hapa😘
aaah wapiiiBado
Hutaki achaaaah wapiii
umoto moto 😊😊Hutaki acha
umoto moto 😊😊