Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wanataka kutulisha haram hawa watu na mwenzi wa toba unaokuja😬kwa kweli bora dear aniletee mafuta ya Samli
Kuna watu sio wastaarabu kabisa, wameweka pesa mbele kama tai.

Kuna haya mafuta ya mgando kama Kimbo nk, nayo ni option nzuri kwa sasa tena unatumia muda mrefu sema kwenye kukaanga chips/mandaz ndio hayafai
 
Harufu yake ikoje?

Na bei yake, maana saiv tunapoelekea tutakula chukuchuku na mandaz ya kuoka ila si ndio healthy jaman😂
Ujawai tumia kabisa samli? huwezi yashindwa ni mafuta yanatengezwa na wasukuma huko kwenye mang'ombe ya kutosha.. bei zina vary mala ya mwisho nakumbuka nilichukua kama elfu 20.. mazuri sana
 
Ujawai tumia kabisa samli? huwezi yashindwa ni mafuta yanatengezwa na wasukuma huko kwenye mang'ombe ya kutosha.. bei zina vary mala ya mwisho nakumbuka nilichukua kama elfu 20.. mazuri sana
Sijawah hata, nimezoea alizeti.
Yeah hua nasikia yanatengenezwa kutokana na ng'ombe ila sikuwah kufatilia.

Kama ni mazuri basi yatakua mkombozi kwa kipindi hiki
 
Back
Top Bottom