Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Bageshi jamani hasira za nini tena hizo?
Pls nisamehe japo sijui kosa langu[emoji2296]

Ila kweli ombi langu lifikirie bageshi
Muone!

Nitakuja kukusemea kwa dada yangu tukuchangie tukutandike sawasawa. We subiri tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nyie hapa hatuko mwaloni wala buzuruga
Tuko Silver Palm sisi [emoji16][emoji16][emoji16]

Leo umeselfika na sikuambulia hata moja. Dimples zako huwa zinaondoa steresi kama hujui. Kama kuna uwezekano nifanyie wepesi. Leo nina siteresi hatari [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Back
Top Bottom