Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,160
- 11,214
Asante studio namba moja
Asante studio namba moja
Asante studio namba moja

Kila kitu huanza na ndoto.. hii chuma namchukulia Nuzulati bosslady wa ukweli.. kipindi na mie navuta myama wangu wa hatari sanaa.. mwisho wa mwakaAsante studio namba moja
Hii BMW x6 sio? Utatisha sanaKila kitu huanza na ndoto.. hii chuma namchukulia Nuzulati bosslady wa ukweli.. kipindi na mie navuta myama wangu wa hatari sanaa.. mwisho wa mwakaView attachment 2168663View attachment 2168664
Mtura ndio nini boss
sio X6 tu, unamalizia kwa kusema M Competition 😀😀😀 Lovelucky anazielewa.. kuna siku nilikutana na ka binti kadogo tu huku kitaa kana hiyo chuma.. nikabaki nacheka tuu.. na mie nilikuwa na myama wangu ila nikaweka salute tu aisee 😀😀😀Hii BMW x6 sio? Utatisha sana
Nzuri sana hiio... inakuwa nyama imechanganya flani hivi ukianza kula utatamani kila siku.. naipenda sana hiyoMtura ndio nini boss
sio X6 tu, unamalizia kwa kusema M CompetitionLovelucky anazielewa.. kuna siku nilikutana na ka binti kadogo tu huku kitaa kana hiyo chuma.. nikabaki nacheka tuu.. na mie nilikuwa na myama wangu ila nikaweka salute tu aisee
![]()


kwa uzuri ule wa mtoto anastahili mwenye pingamizi akaweke tangazo kwenye gazeti la serikaliNikuelekeze mahali ukale?Mtura ndio nini boss
BomuMtura ndio nini boss
Unipeleke bwana pekeangu nitapoteaNikuelekeze mahali ukale?
Yapbomu??
Hapa nilipo nina hasira hatari. Nimekwenda mahali nikapaki mkweche wangu wa Corolla. Nimemaliza mishe zangu nakuta pembeni kuna kitu hiki cheupe kipya kipya. Kuangalia ndani nikakuta pisi moja junior Yutong hivi inaongea kwenye simu. Uzalendo ukanishinda nikagonga dirisha ikalishusha. Piga piga stori pale nikiisifia hiyo ndinga mpaka nikaifikisha kwenye personal issues. Pisi ni singo maza na ilishawahi kudate Nigerian boy japo boya hakuacha resume nzuri. Tetea sana Uafrika pale...from the land of Kilimanjaro and the Serengeti na kamba za hapa na pale. Namba nikapewa na kutaniko la pili ni Jumamosi hii....kwangu! Pisi ni dentist...Fortnox Bro.. leo nimepata hasira sana.. kuna sehemu niliingia nimekaa nakula zangu cigar yangu... kidogo akaja dogo mmoja.. katulia pale mnene kama mie Hi tu, kila mtu biashara yake.. kutoka dogo ana chuma hiyo dah! Nikarudi ndani kwanza kufanya hesabu zangu vizuri na kujiuliza nafanya mie kijana wa hovyo hovyo hapa duniani.. why nipo nyuma ya mdaa.. tena namba DY....
Shimba Ya Buyenze
chombo ilikuwa kama hii.. kitu peruuuView attachment 2168449



X6 sijawahi kuzielewa body kabisa yaani. X5 M Competition ndiyo mpango mzima.sio X6 tu, unamalizia kwa kusema M CompetitionLovelucky anazielewa.. kuna siku nilikutana na ka binti kadogo tu huku kitaa kana hiyo chuma.. nikabaki nacheka tuu.. na mie nilikuwa na myama wangu ila nikaweka salute tu aisee
![]()


