Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,426
mtura kwa dar unapata wapi? Najua arusha kila bar unaeza kuta wanauza mtura. Tamu sanaNzuri sana hiio... inakuwa nyama imechanganya flani hivi ukianza kula utatamani kila siku.. naipenda sana hiyo


JF kuna pisi za hatari acha kabisa