Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapa nilipo nina hasira hatari. Nimekwenda mahali nikapaki mkweche wangu wa Corolla. Nimemaliza mishe zangu nakuta pembeni kuna kitu hiki cheupe kipya kipya. Kuangalia ndani nikakuta pisi moja junior Yutong hivi inaongea kwenye simu. Uzalendo ukanishinda nikagonga dirisha ikalishusha. Piga piga stori pale nikiisifia hiyo ndinga mpaka nikaifikisha kwenye personal issues. Pisi ni singo maza na ilishawahi kudate Nigerian boy japo boya hakuacha resume nzuri. Tetea sana Uafrika pale...from the land of Kilimanjaro and the Serengeti na kamba za hapa na pale. Namba nikapewa na kutaniko la pili ni Jumamosi hii....kwangu! Pisi ni dentist...

Mmeniharibu mpaka nikiona huyu mnyama nawakumbuka...na makonfidensi juu. Ngoja tuone hiyo Jumamosi. Si ajabu nikapewa kuiendesha hii ndinga hata kama ni maeneo tu ya home....Maisha!

Lo lote litakalotokea hiyo Jumamosi lawama ziwaangukie wewe na Fortnox. Hamfai
View attachment 2168688
dah nimecheka Sana lawama ushazimwaga tayari...tafadhali usiniangushe mzee wangu siku ya appointment nategemea utaondoka na point zote 3 ,, lazma ulitest unazunguka nalo tu around hom
 
Hapa nilipo nina hasira hatari. Nimekwenda mahali nikapaki mkweche wangu wa Corolla. Nimemaliza mishe zangu nakuta pembeni kuna kitu hiki cheupe kipya kipya. Kuangalia ndani nikakuta pisi moja junior Yutong hivi inaongea kwenye simu. Uzalendo ukanishinda nikagonga dirisha ikalishusha. Piga piga stori pale nikiisifia hiyo ndinga mpaka nikaifikisha kwenye personal issues. Pisi ni singo maza na ilishawahi kudate Nigerian boy japo boya hakuacha resume nzuri. Tetea sana Uafrika pale...from the land of Kilimanjaro and the Serengeti na kamba za hapa na pale. Namba nikapewa na kutaniko la pili ni Jumamosi hii....kwangu! Pisi ni dentist...

Mmeniharibu mpaka nikiona huyu mnyama nawakumbuka...na makonfidensi juu. Ngoja tuone hiyo Jumamosi. Si ajabu nikapewa kuiendesha hii ndinga hata kama ni maeneo tu ya home....Maisha!

Lo lote litakalotokea hiyo Jumamosi lawama ziwaangukie wewe na Fortnox. Hamfai
View attachment 2168688
😀😀😀 Safari moja huanzisha ingine... kama umeweza sawazisha alipo haribu mnaija hizo lawama hatuzibebi..
 
Tufanye yote tusiache kula
 
Attachments

  • IMG_2908.jpg
    IMG_2908.jpg
    162.1 KB · Views: 18
Hapa nilipo nina hasira hatari. Nimekwenda mahali nikapaki mkweche wangu wa Corolla. Nimemaliza mishe zangu nakuta pembeni kuna kitu hiki cheupe kipya kipya. Kuangalia ndani nikakuta pisi moja junior Yutong hivi inaongea kwenye simu. Uzalendo ukanishinda nikagonga dirisha ikalishusha. Piga piga stori pale nikiisifia hiyo ndinga mpaka nikaifikisha kwenye personal issues. Pisi ni singo maza na ilishawahi kudate Nigerian boy japo boya hakuacha resume nzuri. Tetea sana Uafrika pale...from the land of Kilimanjaro and the Serengeti na kamba za hapa na pale. Namba nikapewa na kutaniko la pili ni Jumamosi hii....kwangu! Pisi ni dentist...

Mmeniharibu mpaka nikiona huyu mnyama nawakumbuka...na makonfidensi juu. Ngoja tuone hiyo Jumamosi. Si ajabu nikapewa kuiendesha hii ndinga hata kama ni maeneo tu ya home....Maisha!

Lo lote litakalotokea hiyo Jumamosi lawama ziwaangukie wewe na Fortnox. Hamfai
View attachment 2168688
Babu Kama babu
 
Kama huna nguvu na hauna source ya nguvu, kwenye huu ulimwengu utateseka na mbinguni utakataliwa.. Nguvu ( energy) ndio inaendesha kila kitu ikiwa duniani ama mbinguni.. Tafuta nguvu na uendelee kuwa connected na chanzo cha hizo nguvu.. hata kupata hela unahitaji Power.. kupata amani unahitaji nguvu kila kitu kinahitaji uwe na nguvu
Ni wachache watakaolewa..
Power within
 
Back
Top Bottom