Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,761
😀😀😀 wengine kelele tu.. kipindi tupo shule zetu za machokwani.. daima vichwa hukaa kimya.. ila pangu pakavu ndio. vihele hele kunyoosha vidole..Tag kubwa
Kwa dada mtu![]()
😀😀😀 wengine kelele tu.. kipindi tupo shule zetu za machokwani.. daima vichwa hukaa kimya.. ila pangu pakavu ndio. vihele hele kunyoosha vidole..Tag kubwa
Kwa dada mtu![]()
😀😀😀😀 natafuta sajari ya kuyazibaAfadhali leo umekuwa na matumizi mazuri ya dimpozi
chuma ilikuwa ni Lincoln mzeeAtakua mtoto wa fisadi huyoIla Tanzania Kuna watu Wana hela bwana dah kitu Kama hio Mimi sitalala siku nne consecutive
Tumbo gani?wee Anne litumbo lote hili khah!! Tumbo limegoma kabisa kupungua
Yaaani yaaani umejificha wapi hadi Saint Anne akaanza kuleta fujo 🤣🤣 ila usiwaze itarudiwa sawa eeehKatriel ikawaje sasa 🤓
WaaaaHaka kanguo ni kakutokea na mchuchu wako jioni?Umependeza..
Nilikwambia usitoe mpaka nije.. unarudia saa ngapi?Yaaani yaaani umejificha wapi hadi Saint Anne akaanza kuleta fujo 🤣🤣 ila usiwaze itarudiwa sawa eeeh
Unapendeza ukinyoaSi ndio sasa
Kusuka hatusuki
Tunajifanya forever low cut
Wapii sista huna hela tumekushtukia
Lenie
Grahams
View attachment 2168632@Grahams usipitwe babu mzuri
Noma sanaaa ... Hapa ndio nafika room na ndio nakamata kiswaswadu mzee leo nilikua tyt mbaya nipe ripotchuma ilikuwa ni Lincoln mzee
Ila chuga Kuna kazi jamani leo nusu nigongwe na ushamba wangu mhehe Mimi dah depal uko wapi mamaSi ndio sasa
Kusuka hatusuki
Tunajifanya forever low cut
Wapii sista huna hela tumekushtukia
Lenie
Grahams
View attachment 2168632@Grahams usipitwe babu mzuri
pole sana na majuku.. mie mwenyewe nimekuja kamata simu saa kumi na moja jioni.. na mie niliotewa vibaya sanaNoma sanaaa ... Hapa ndio nafika room na ndio nakamata kiswaswadu mzee leo nilikua tyt mbaya nipe ripot
Unataka ulete kiburi na kwa Mungu sasanatafuta sajari ya kuyaziba
Ameshindikanika huyo



Safi sana!!Waaaa
ka kushinda nae nyumbani hako.
Si unajua.. mtelezo flani hivi…
Hahah get rich or die tryn shemeji @nazulat anasemaje @nazulatpole sana na majuku.. mie mwenyewe nimekuja kamata simu saa kumi na moja jioni.. na mie niliotewa vibaya sana
Nuzulati yupo kapumzika 😎😎Hahah get rich or die tryn shemeji @nazulat anasemaje @nazulat
Town kuna mvua??Ila chuga Kuna kazi jamani leo nusu nigongwe na ushamba wangu mhehe Mimi dah depal uko wapi mama
Unanichonja ee? 🤣Unapendeza ukinyoa
Ukweli bhana , unapendeza .Unanichonja ee?![]()
Inapiga Ila sio kivile nilikua nashangaa watoto wazuri wazuri barabaraniTown kuna mvua??
Nipo Njiro, kuna mvua balaa
Ushamba wa nini nawe? Mji wenyewe huu hauna jam