Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Fortnox Bro.. leo nimepata hasira sana.. kuna sehemu niliingia nimekaa nakula zangu cigar yangu... kidogo akaja dogo mmoja.. katulia pale mnene kama mie Hi tu, kila mtu biashara yake.. kutoka dogo ana chuma hiyo dah! Nikarudi ndani kwanza kufanya hesabu zangu vizuri na kujiuliza nafanya mie kijana wa hovyo hovyo hapa duniani.. why nipo nyuma ya mdaa.. tena namba DY....

Shimba Ya Buyenze

chombo ilikuwa kama hii.. kitu peruuuView attachment 2168449
Atakua mtoto wa fisadi huyo Ila Tanzania Kuna watu Wana hela bwana dah kitu Kama hio Mimi sitalala siku nne consecutive
 
Back
Top Bottom