Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,221
- 183,074
๐๐๐๐๐๐๐๐คฃ,Kidogo nipitwe[emoji3059]
๐๐๐๐๐๐๐๐คฃ,Kidogo nipitwe[emoji3059]
Naona una kaimu nafasi ya saint anne [emoji2][emoji2]
Na hana tumbo kabisa yaani๐anatutoa kimaso maso wadada wa Jf
Shimba Ya Buyenze msukuma leo sijakuona kabisaaaa... Saint Anne uko wapi nasikia baridi eti nakaribia kusinzia mapema sana leo!View attachment 2168593
Bora umeongea wewe nkamu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]hapana nasema ukweli
Na hana tumbo kabisa yaani[emoji23]
Anne una nini lakini ๐, shombe wa snapchatAisee๐ฅฐ
Beautiful
Kumbe tuna mashombe wengi tu na hamsemi.
Kidogo๐Uko na upuuzi mwingi ๐
Asante mamy! Naomba tips uso wangu umekua rafu afu mgumu kweli kweli halafu Vipele vimenijaaje usoni sijui kwanini!!!Suala la figure no 8 tukuachie tu huna mpinzani[emoji1544][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Boss ledi ana flat tummy kama nyigu๐yaani atupe tu tips na sisi tupambane tushachoka kuambiwa hongera wakidhani vijacho[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787],
wee Anne litumbo lote hili khah!! Tumbo limegoma kabisa kupunguaNa hana tumbo kabisa yaani[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]hapana nasema ukweli
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คญ๐คญ๐คญ๐คญ๐คญ๐คญNangoja tu ugeuke hapa nikalale[emoji2][emoji2]
Na kababy face hako bado unasema uso upo rafu..Asante mamy! Naomba tips uso wangu umekua rafu afu mgumu kweli kweli halafu Vipele vimenijaaje usoni sijui kwanini!!!
yaani atupe tu tips na sisi tupambane tushachoka kuambiwa hongera wakidhani vijacho[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah jamani dear, sasa hapo kuna mawili camera imenistiri pia ujue ๐คฃ๐คฃupo softi hadi raha...unapaka nini Usoni jamani!!!
Sio mimi bwana ๐Nakujua
Zipo kibao huko juu! Ngoja nikaoge nivae za kanisani mkuu!!Hiv Eroni una picha hata moja humu kweli? Fanya mpango basi