Katriel
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 272
- 933
Kama wewe vile 😍Mrembooobiutifuli
Kama wewe vile 😍Mrembooobiutifuli
Usinifanyie hivo jamani... nahitaji kuwa softi usoni hebu nipeni mbunu please!!Hahahah jamani dear, sasa hapo kuna mawili camera imenistiri pia ujue 🤣🤣
Ww kazuri aisee🥰Anne una nini lakini 😂, shombe wa snapchat
Hereni umepata dear🥰😘🥰🥰😘😘😘😘 Santo sana mamy... naomba hizo hereni nimezielewa sana pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!
Mependeza sanaaaaa🥰✌️
Usinifanyie hivo jamani... nahitaji kuwa softi usoni hebu nipeni mbunu please!!
🙄🙄🙄🙄🙄 losheni ya kawaida tu!!Kabla uso haujaharibika ulikua unatumia nini?
Kuni mbichi zinawaka moto😂Ila nkamuunajua kuchochea
Unazijua sura za watu wa Mbeya lakini?Anne sitaki 😂😂😂😂😂 kazuri kama wewe bwana 🥰 mahondaw njoo umchukue Anne huku 😂
MweehMtanisamehe katika pambano lenu
Kuni mbichi zinawaka moto😂
Mtu akufata akili zangu anaweza jikuta anajiweks uchi hapa😁
Hahaha nazijua, wazuri wazuriUnazijua sura za watu wa Mbeya lakini?
Nilijua tu boss wetu yupo na time management.Saint Anne bosi ledi mzungu anaenda na muda 😜 mbili nanusu kamiliii
Ila jukwaa linachangamka kwa kweliHaki ya mungu aisee!! Akili zako unazijia mwenyewe!!
Nani alikudanganya dear?Hahaha nazijua, wazuri wazuri
Simtaki 😂😂😆 Baki nae tu huyu kwa kweli 😂Aaawwwwwwe huyo leo nakuachia nipumue kwanza 😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌!! usiombe kukutwa na Anne walai!!
Kabisa....Ila jukwaa linachangamka kwa kweli
Tukitoka hapa tuna furaha tunalala fofofo
SureA very young man!
