Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hakuna mwanamke mwenye uwezo wa kumfanya mwanaume kuwa mwaminifu.

Mwanaume anatakiwa kuwa na hofu ya Mungu ili kuwa mwamifu ( heshima ) kwa mke/mpenzi wake.

Hakuna mwaume ambae ni sahihi kwa mwanamke, isipokuwa kuna mwanaume sahihi kwa Mungu ( kama ni sahihi kwa Mungu, atakuwa sahihi kwako ).

Kama mwanaume hana hofu ya Mungu, sahahu kuwa na heshima kwako wewe mwanamke.. Usijdanganye kwamba utambadilisha

View attachment 2168434

9.8ms squared kwa sasa sehemu flani napata gahawa na wajukuu zangu..
Nimejiridhisha nani ame like

Kwanza

Nami nime like
 
Hakuna mwanamke mwenye uwezo wa kumfanya mwanaume kuwa mwaminifu.

Mwanaume anatakiwa kuwa na hofu ya Mungu ili kuwa mwamifu ( heshima ) kwa mke/mpenzi wake.

Hakuna mwaume ambae ni sahihi kwa mwanamke, isipokuwa kuna mwanaume sahihi kwa Mungu ( kama ni sahihi kwa Mungu, atakuwa sahihi kwako ).

Kama mwanaume hana hofu ya Mungu, sahahu kuwa na heshima kwako wewe mwanamke.. Usijdanganye kwamba utambadilisha 😎😎😎

View attachment 2168434

9.8ms squared kwa sasa sehemu flani napata gahawa na wajukuu zangu..
Mchungaji Jana alisema hivi unadhani utambadilisha mume wako Kwa uhodari wa kupepeta mdomo?
Anasema utapepeta mdomo hadi utapata presha
Wewe msukumizie Kwa Mungu,
 
Back
Top Bottom