Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,761
Kama huna nguvu na hauna source ya nguvu, kwenye huu ulimwengu utateseka na mbinguni utakataliwa.. Nguvu ( energy) ndio inaendesha kila kitu ikiwa duniani ama mbinguni.. Tafuta nguvu na uendelee kuwa connected na chanzo cha hizo nguvu.. 😀😀😀 hata kupata hela unahitaji Power.. kupata amani unahitaji nguvu kila kitu kinahitaji uwe na nguvu




