Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Humu bosslady OG ni mmoja tu.. nae ni Nuzulati.. mbingu zinajua na ufalmwe wake wamatambua..
Boss ledi anayefahamika Africa mashariki na duniani kote ni mahondaw

Picha zake tumepeleka pale World Bank wanamalizia mchakato wa kutupa mkopo..
Na boss ledi alivyo na roho nzuri atatupia picha nyingine tumalize mchakato wa mkopo Kwa riba nafuu
 
Boss ledi anayefahamika Africa mashariki na duniani kote ni mahondaw

Picha zake tumepeleka pale World Bank wanamalizia mchakato wa kutupa mkopo..
Na boss ledi alivyo na roho nzuri atatupia picha nyingine tumalize mchakato wa mkopo Kwa ribs nafuu😂
😀😀😀 mchongo labda... kuna mmoja tu nae ni Nuzulati hao wengine wanafatia.. hamna kinachosekana kwa my inspiration...
 
Back
Top Bottom