Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,761
Kazi yako ni kuniombea Dua na kunitunza... 😀😀😀Nakutii utakacho nambie😀
Kazi yako ni kuniombea Dua na kunitunza... 😀😀😀Nakutii utakacho nambie😀
Ngoja niweke chajiNgoja nipike kwanza saa 20:30 nakuja kutupia vitu![]()

Make it official ndio uanze kumkataza hayo mambo,meanwhile tunadai picha hapaacha ukoloni...


eeh! Mashangazi watu muhimu sana.. tujue orodha yenu.. tuwaandalie kitu chenu specialHaya twasubiri sapulaizi...![]()
Hahahha unajua bhana usikute unashusha kimombo sio cha nchi hii .Asante
Zile gari za njano
Nazionaga tu zilee![]()
my inspiration.. vile kadri unavyo niombe Dua kwa Mwenyezi Mungu, ndivyo amabyo Mungu anasikia sala zako na kunigusa moyo wangu.. najikuta na hofu sana kwa Mwenyezi Mungu.. automatic inakuja mie kwenye kukupenda zaidi na zaidi kukuheshimu zaidi na zaidi... hujagundua hilo 😊😊😊.. jamani siku zote hizo ulikuwa wapiUna msukumiza vipi mtumishi kama hajaamua mwenyewe 🤔
Domo zegeHahahha unajua bhana usikute unashusha kimombo sio cha nchi hii .
Ni pusi nyau au mimi sijaelewa??Paka
Ni kitu nyingine
Tumoghelee![]()
Domo zege
Na kutema yai
Wapi na wapi
Hizi mambo ni
Wewe yule wa kuitwa karucee na
Mdada wa kuitwa Paula
Ni shida
Kumbe shukrani kwa kunielewesha ngoja nianze leo maombi.my inspiration.. vile kadri unavyo niombe Dua kwa Mwenyezi Mungu, ndivyo amabyo Mungu anasikia sala zako na kunigusa moyo wangu.. najikuta na hofu sana kwa Mwenyezi Mungu.. automatic inakuja mie kwenye kukupenda zaidi na zaidi kukuheshimu zaidi na zaidi... hujagundua hilo 😊😊😊.. jamani siku zote hizo ulikuwa wapi
Ee! my inspiration ndio maana familia bora ni ile inayokuwa na mda wa kumuomba Mwenyezi Mungu kwa pamoja, zaidi ya mala tatu kwa siku.. huwa ni familia zenye amani na upendo.. maana milango ya kuingilia ibirisi hufungwa kwa dua zao kwa pamoja.. Mume anakuwa na hofu kwa Mungu, mke anakuwa na hofu kwa Mungu.. hakuna picha picha zitazo tokea hapo.. kabla Mume hajatoka mnafanya dua pamoja.. unafikiri huko kitaa atafanya utopolo.. ile dua ya asubuhi inakuwa inampa kumbuku kumbu 😎😎😎.. love you my inspiration najua hili utalifanyia kaziKumbe shukrani kwa kunielewesha ngoja nianze leo maombi.
Ukimsukumiza Kwa Mungu basi Mungu atadeal naye.Una msukumiza vipi mtumishi kama hajaamua mwenyewe 🤔
Sasa tusiandikie mate..Humu bosslady ni mmoja nae ni Nuzulati
kuna mrembo mmoja ambae ni Nuzulati
kuna mzuri mmoja ambae ni Nuzulati
mwenye kibali ni mmoja ambae ni Nuzulati... hizi ni character zake ni ndani na nje
ikae ieleweke hivyoo.. hakuna ubabaishaji hapo.. imeisha hiyo wengine mtafute namba za kukaaa 😎😎😎
Saint Anne
Binaaaaa.
Haiwezekani.. neema alizo mjalia my inspiration Nuzulati ni kwa ajiri yangu tu kuziona na juzifurahi.. my Nuzulati sio wajamii ni wanguu.. mtoto wa kike staha.. na kujistiri.. vile vitu wa kuviona ni mie tu.. ila jua tu akiposta watu wanavunjika miguu humu na net ita stuck.. 😀😀😀😀Sasa tusiandikie mate..
Saa mbili na nusu wapambane hapa Kwa picha 😁
Sasa tusiandikie mate..
Saa mbili na nusu wapambane hapa Kwa picha![]()


unajua kuchochea