Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,397
Mtanisamehe katika pambano lenuSasa tusiandikie mate..
Saa mbili na nusu wapambane hapa Kwa picha š
Mtanisamehe katika pambano lenuSasa tusiandikie mate..
Saa mbili na nusu wapambane hapa Kwa picha š
šš
Thanks love kwa elimu hii ā¤ļøšEe! my inspiration ndio maana familia bora ni ile inayokuwa na mda wa kumuomba Mwenyezi Mungu kwa pamoja, zaidi ya mala tatu kwa siku.. huwa ni familia zenye amani na upendo.. maana milango ya kuingilia ibirisi hufungwa kwa dua zao kwa pamoja.. Mume anakuwa na hofu kwa Mungu, mke anakuwa na hofu kwa Mungu.. hakuna picha picha zitazo tokea hapo.. kabla Mume hajatoka mnafanya dua pamoja.. unafikiri huko kitaa atafanya utopolo.. ile dua ya asubuhi inakuwa inampa kumbuku kumbu ššš.. love you my inspiration najua hili utalifanyia kazi
šššAnachochea kuni eti utoto huo kamwe siwezi fanyaIla nkamu [emoji23][emoji23][emoji23] unajua kuchochea
Haiwezekani.. washindane mbio falasi na kobe.. utakuwa udhalilishaji tu kwa Falasi na hekima za falasi hatokimbia atamuachia kobe atambe... hizo neema za kuona ni mmoja.. ā¤ļøā¤ļøšššššAnachochea kuni eti utoto huo kamwe siwezi fanya
Uko na upuuzi mwingi šSasa tusiandikie mate..
Saa mbili na nusu wapambane hapa Kwa picha š
eeh! Mashangazi watu muhimu sana.. tujue orodha yenu.. tuwaandalie kitu chenu special
hii ina improve sana mahusiano.. ebu sema neno.. my inspiration ššThanks love kwa elimu hii ā¤ļøš
šš Muhimu sana.. fanyeni chap chap.. michakato ifanyike.. mpata surprise yenuInabidi sensa ipite tujue mashangazi tupo wangapi
Mtanisamehe katika pambano lenu
nishatia timuNgoja niweke chaji
Hiki kimeo[emoji1787]
ššššš¤£š¤£š¤£Niliambiwa hii mboga
Inasababisha tezi dume
usimsikilize Anne mpambe huyo ujue!!Inakuja kwenye semi-trailer [emoji2][emoji2]
usimsikilize Anne mpambe huyo ujue!!
A very young man!Helow Team!View attachment 2168586
cocastic leo umetususa selfika..... vitu vyako hivii!!Helow Team!View attachment 2168586